Microelements
M4A•Episode home
Manage episode 336413199 series 3099141
Content provided by Wilson Michael. All podcast content including episodes, graphics, and podcast descriptions are uploaded and provided directly by Wilson Michael or their podcast platform partner. If you believe someone is using your copyrighted work without your permission, you can follow the process outlined here https://podcastplayer.com/legal.
Microelements and trace minerals ni madini ambayo yanawez tokea kwa kiwango kidogo sana kwenye mwli lakini pia inakazi kubwa kwenye seli na kazi za mfumo wa fahamu. Katika madini haya utakutana na Copper: Ni muhimu ili kubadilisha iron kwenda homoglobin. Pia inasaidia kujikinga na anemia and to kuimarisha afya afya ya akili na uwezo wa hisia. Vyanzo vya Copper ni nuts, shellfish, raisins, molasses, Brazil nuts, soybeans.
…
continue reading
3 episodes