Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
…
continue reading
…
continue reading
…
continue reading
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
…
continue reading
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
…
continue reading
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
…
continue reading
Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.
…
continue reading
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
…
continue reading
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
…
continue reading
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
…
continue reading
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
…
continue reading
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
…
continue reading
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
…
continue reading
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
…
continue reading
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Kuuawa kwa mbunge jijini Nairobi Kenya, Marekani kuzipatanisha Rwanda na DRC
20:12
20:12
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:12Makala hii imeamgazia kuuawa kwa mbunge wa Kasipul Charles Ong'ondo Were, kwa kupigwa risasi na watu waliokuwa kwa pikipiki katika barabara ya Ngong Jijini Nairobi, jumatano, kukamatwa kwa mlinzi wake kiongozi wa chama cha upinzani cha NUP nchini Uganda, nao wawakilishi wa DRC na Rwanda wanaokutana Washington Marekani kusaini mkataba kuelekea makub…
…
continue reading

1
Mchango wa wanaveterinari ulivyo muhimu katika mapambano ya magonjwa ya milipuko
10:07
10:07
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:07Ongezeko la magonjwa ya milipuko linaibua swala la kwa nini watalaam wa wanyama hawahusishwi kikamilifu katika mifumo ya afya ya binadaam Mpango wa one Health Approach unaonadiwa kwa sasa kwa mataifa ,unahimiza kuipa kipau mbele afya ya wanyama ,ili kuchangia siha njema ,usalama wa chakula na maendeleo endelevu .…
…
continue reading

1
Kwa nini ni muhimu kuyachunguza maziwa unayotumia nyumbani kulinda afya yako
10:00
10:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:00Kumekuwa na malalamishi ya maziwa yaliyo kwenye soko kusababisha madhara ya kiafya Watalaam wa afya ,bodi inayosimamia bidhaa za maziwa nchini Kenya na wanavetirinari wanasema matatizo hayo huenda yanatokana na uzembe wakati wa uchakataji maziwa ,uhifadhi na pia wafanyabiashara wenye pupa.By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading
By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Vita ya Biashara: Athari kwa Biashara na Uwekezaji kwa nchi za ukanda
10:06
10:06
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:06Mizozo ya kibiashara kati ya nchi wanachama wa jumuiya za kikanda kama zile zilizoko SADC na EAC, ina athari endelevu kwa uchumi, biashara na jamii kiujumla. Mfano hivi karibuni Tanzania iliingia katika mvutano na nchi za Malawi na Afrika Kusini, zote zikiwa ni wanachama wa SADC, aidha wakati fulani Tanzania, Kenya na Uganda zilishawahi kuvutana. A…
…
continue reading

1
Tanzania: Haki ya kusikiliza kesi mahakamani
10:00
10:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:00Nchini Tanzania, wafuasi na wanasiasa wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, walikamatwa na kupigwa na maafisa wa polisi walipokwenda Mahakamani jijini Dar es salaam, kusikiliza kesi ya uhaini na uchochezi inayomkabili kiongozi mkuu wa upinzani CHADEMA, Tundu Lissu. Katika makala ya leo ya Jua Haki yao, tunaangazia Uhuru wa kufauta kesi mahakamani, k…
…
continue reading

1
Kenya: Upinzani utamtikisa Ruto uchaguzi wa mwaka 2027 ?
10:16
10:16
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:16Wanasiasa wakuu wa upinzani nchini Kenya, wakiongozwa na aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, Aprili 29 2025, walikutana jijini Nairobi kuanza mikakati ya kuunda muungano mpya, kwa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Je, muungano huu ambao pia umemjumuisha aliyekuwa Waziri wa usalama Fred Matiang’i, unaweza kumtikisa rais William Ruto waka…
…
continue reading

1
Rasimu ya makubaliano kati ya DRC na Rwanda ya kutafuta suluhu ya mzozo
9:40
9:40
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:40By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Mchakato wa kumchagua kiongozi mpya wa kanisa katoliki duniani
10:02
10:02
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:02Kwa sasa macho yakiwamulika makadinali 135 watakaochagua papa mpya ndani ya siku chache zijazo, mjadala kuhusu Papa kutoka Afrika ukishamiri.Mchakato wa kumchagua pBy RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Mabadiliko ya tabianchi yachochea ongezeko la ukatili wa kijinsia
10:06
10:06
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:06Ripoti hiyo mpya ya UN Spotlight initiative, imebaini kuwa mabadiliko yatabianchi yameendelea kuzidisha mogogoro ya kijamii na kiuchumi ambayo inachochea kuongezeka kwa viwango vya unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana.By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Historia ya muungano wa Tanganiyika na Zanzibar na msanii wa Burundi Tomson the Voice
20:09
20:09
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:09Karibu kuungana nami katika makala changu chako chako changu leo jumapili ambapo nakuletea Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kwenye le parler francophone nitakujuza ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance francaise ya Nairobi, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Thomson the voice kutoka nchini Burundi, mimi ni Ali Bilali, bienv…
…
continue reading

1
Riadha: Ni nani atashinda mbio za London Marathon mwaka 2025?
24:06
24:06
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
24:06Leo tumeangazia michuano ya klabu bingwa kufuzu fainali, riadha za Diamond League, Boston na London Marathon, Cameroon yafuzu Kombe la Dunia la U17, uchaguzi wa kamati ya Olimpiki nchini Kenya watibuka, Gor Mahia yanuia kujenga uwanja wao, uchambuzi wa debi ya El Clasico huku Carlos Alcaraz akijiondoa kwenye mashindano ya Madrid Open.…
…
continue reading

1
Tanzania: Tunamuangazia Samir Kassim Rashid maarufu Samir Kinyulinyuli
20:17
20:17
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:17Samir Kassim Rashid maarufu Samir Kinyulinyuli ni Msanii wa Sanaa ya Muziki aliyelazimika kukimbilia Dar es salaam akitokea Morogoro ili kufanikiwa kisanaa, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa ya Jumahili.By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Mazishi ya papa Francis huko vatican, DRC na Rwanda zakubaliana kuelekea amani
20:16
20:16
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:16Makala ya yaliyojiri wiki hii imeangazia mazishi ya kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, DRC na Rwanda zatia saini makubaliano kuhusu njia ya kupatikana amani ya mashariki mwa Congo, siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi wa oktoba, ziara ya rais wa Kenya William Ruto huko China, hali ya vita ya Sudan, vita ya Ukraine na huko Gaza Israeli…
…
continue reading

1
Uchafuzi wa mazingira wakiuka haki za watoto
9:41
9:41
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:41Mabadiliko ya tabia nchi yametajwa kuchangia pakubwa ukiukaji wa haki za watoto. Skiza makala haya kufahamu mengi.By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Kilimo na teknolojia ya Akili Mnemba Afrika
10:02
10:02
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:02Katika juhudi za kuimarisha ubunifu na ushindani wa kilimo biashara barani Afrika, Kenya kwa kushirikiana na Ufaransa zimeanzisha mpango wa mafunzo ya matumizi ya teknolojia kwa wakulima wanawake, yakiangazia Akili Mnemba (AI) kuongeza thamani ya mazao, mpango umefikia zaidi ya vikundi na mashirika 1200 ya wanawake wakulima na kuwawezesha kutumia t…
…
continue reading

1
DRC: Kabila aripotiwa kufikia Goma, huku chama chake kikifungiwa
10:11
10:11
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:11Rais wa zamani wa DRC, Joseph Kabila, Aprili 18, aliripotiwa kurejea nchini na kufikia jijini Goma, linalodhibitiwa na waasi wa M 23. Hata hivyo, taarifa hizi hazijathibitishwa rasmi. Serikali jijini Kinshasa, nayo imesitisha shughuli zote za kisiasa za chama chake cha PPRD. Kabila anashtumiwa na serikali kwa kuunga vitendo vya waasi hao.…
…
continue reading

1
Cha kutarajiwa katika ahadi mpya za nchi za kukabili mabadiliko ya tabianchi
10:10
10:10
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:10Ripoti ya umoja wa mataifa inaonesha dunia ipo nyuma sana katika kudhibiti ongezeko la joto chini ya nyuzi joto 1.5.By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Joseph Kabila adaiwa kurejea DRC kupitia Goma
9:53
9:53
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:53Juma lililopita ripoti ambazo hazijathibitishwa rasmi zilieleza kuwa rais wa zamani wa DRC, Joseph Kabila alirejea nchini Mwake kupitia mji wa Goma unaokaliwa na waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda. Hata hivyo hatua yake imeifanya serikali ya Kinshasa, kusimamisha shughuli zote za chama chake cha PPRD, ikikituhumu kushurikiana na waasi hao. Unazung…
…
continue reading

1
Kenya : Sanaa ya wanafunzi wa shule yakera serikali
9:50
9:50
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:50Mjadala makali bado unaendelea baada ya serikali kudaiwa kuzuia wanafunzi wa shule ya upili ya Butere kuwasilisha uchezo wao wa Echoas of War kwenye ngazi ya kitaifa kwenye mashindao ya kuingiza. Kisa na maana ni kwamba mchezo huo unaikosoa serikali na kwamba uliandikwa na mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa zamani wa chama tawala cha UDA, Bwana Cl…
…
continue reading

1
Jean-Jacques wa DRC kati ya waamuzi waliochaguliwa kwenye Kombe la Dunia la Vilabu
23:53
23:53
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:53Jumamosi hii tunaangazia nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika, waamuzi kutoka Kenya na DRC miongoni mwa waamuzi kusimamia michuano ya Kombe la Dunia la Vilabu Marekani mwaka huu, fainali wa Afcon U17, kwenye riadha Chepngetich na Jepchirchir wajiondoa kwenye London Marathon, mechi za kufuzu Kombe la Dunia la wasichana chini ya umri wa mi…
…
continue reading

1
Vita ya Sudan kuingia mwaka wa tatu, Joseph Kabila arejea nchini DRC
20:02
20:02
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:02Vita ya sudan Kuingia katika mwaka wa tatu wiki hii, Kenya yatangaza marufuku ya biashara ya figo baada ya ufichuzi, rais wa zamani wa DRC arejea nchini aliwasili mjini Goma huku Marekani ikiitaka nchi ya Rwanda kuondoa wanajeshi wake mashariki mwa nchi hiyo, tumeangazia siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi wa Oktoba, kule Sahel na wito wa rais wa G…
…
continue reading

1
Tundu Lisssu afunguliwa kesi ya uhaini, CHADEMA matatani
9:29
9:29
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:29Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, Tundu Lissu, Aprili 10 alifunguliwa kesi ya uhaini, baada ya kukamatwa akiwa kwenye kampeni ya kisiasa, kushinikiza mageuzi kwenye mchakato wa uchaguzi, uliopangwa kufanyika mwezi Oktoba.By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Sehemu II: Madhara ya ushuru wa Trump kwa bara la Afrika na biashara ya dunia
9:46
9:46
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:46Msikilizaji kwa majuma kadhaa sasa, kumekuwa na mjadala duniani kote kufuatia uamuzi wa rais wa Marekani, Donald Trump, kutangaza ushuru wa bidhaa zinazoingia kwenye taifa hilo, mataifa ya Afrika yakiwa miongoni mwa waathirika, baadhi wakiwekewa ushuru wa hadi asilimia 50. Hata hivyo juma lililopita, rais Trump alitangaza kusitisha kwa muda wa siku…
…
continue reading

1
Mbolea asilia: Suluhisho kwa uharibifu wa udongo na changamoto za kilimo Kenya
10:00
10:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:00Baadhi ya wakulima nchini Kenya wameanza kugeukia matumizi ya mbolea asilia inayonyunyiziwa ardhini ili kunusuru mashamba yao.By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Changu Chako Chako Changu mahakama ya jadi kutoka kabila la Wameru sehemu ya kwanza
20:02
20:02
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:02Kwenye makala haya utapata kufahamu mahakama hii ya Jadi nchini Kenya kutoka Kabila la Wameru ambayo inakubalika na serikali katika utatuzi wa mizozo mbalimbali kutoka jamii ya wameru. Utapa pia kufahamu historia ya msanii kutoka nchini Ufaransa Hiro le Coq.By RFI Kiswahili
…
continue reading