Search a title or topic

Over 20 million podcasts, powered by 

Player FM logo

Un Global Communications Digital Solutions Unit Podcasts

show episodes
 
Artwork

1
UN Interviews

United Nations

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Weekly+
 
UN News interviews a wide range of people from senior news-making officials at Headquarters in New York, to advocates and beneficiaries from across the world who have a stake in helping the UN go about its often life-saving work in the field.
  continue reading
 
Artwork

1
The Lid is On

United Nations

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
This flagship podcast series from UN News takes its name from the words that correspondents at UN Headquarters in New York hear each night, at the end of the working day. We highlight the in-depth human stories behind the UN’s work and the way that it touches and impacts ordinary lives around the world.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
After more than 22 years at the heart of Iraq’s political transition and post-war recovery, the UN will close its political mission in the country at the end of 2025. Established in 2003, the mission (UNAMI) has played a central role in supporting inclusive political dialogue, national reconciliation, credible elections and the protection of human …
  continue reading
 
Financing and climate solutions have become an increasingly important focus for the UN’s work worldwide. Taking place this year in the Kenyan capital, Nairobi, the UN Environment Assembly is advancing sustainable solutions for all. Richard Munang, Africa climate change coordinator for UN Environment Programme, UNEP, spoke to UN News’s Stella Vuzo i…
  continue reading
 
Nchini Sudan, barani Afrika, wasiwasi mkubwa unaendelea kuhusu makumi ya maelfu ya watu wanaoaminika kuwa bado wamenaswa mjini El Fasher katika eneo la Darfur, magharibi mwa nchi lakini mashirika ya misaada ya Umoja wa Mataifa yanaamini kwamba huenda yakaruhusiwa kufika katika mji huo uliogubikwa na mapigano. Anold Kayanda na taarifa zaidi.…
  continue reading
 
Leo Dunia inapoadhimisha miaka kumi tangu Mkataba wa Paris wa mabadiliko ya Tabianchi kupitishwa, wataalamu wa masuala ya tabianchi barani Afrika wanasema maadhimisho haya ni wakati wa kupima hatua zilizofikiwa lakini pia kukabili pengo linalopanuka kati ya sera na utekelezaji wa hatua za tabianchi. Flora Nducha na taarifa zaidi…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia machafuko nchini Sudan, mkutano unaomulika hatua za tabianchi barani Afrika UNEA7, na juhudi za vijana nchini Kenya za kujikwamua kiuchumi kupitia kilimo endelevu.Nchini Sudan, barani Afrika, wasiwasi mkubwa unaendelea kuhusu makumi ya maelfu ya watu wanaoaminika kuwa bado wamenaswa mjini El Fasher katika eneo la Darfur…
  continue reading
 
Kutoka mashambani hadi kwenye majukwaa ya kidijitali, vijana wa kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya wanaongoza enzi mpya ya kilimo kinachoendana na mabadiliko ya tabianchi. Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya Watoto UNICEF limeunga mradi wa vijana uitwao Empowering Kenyan Youth in Agribusiness and Nutrition (EKYAN) kuwawezesha vijan…
  continue reading
 
Living heritage gives people a sense of meaning and belonging, connecting individuals and communities across generations. On Thursday, the UN culture agency, UNESCO’s committee which safeguards living cultural traditions worldwide, added 67 new living heritage elements to UNESCO’s extensive lists. UN News’s Anshu Sharma in the Indian capital, New D…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Sudan Kusini kufuatilia mradi wa kilimo cha mpunga ulivyoleta ustawi kwa jamii ya katikati mwa Sudan unaofanikishwa kwa msaada wa mafunzo wa walinda amani wa UN kutoka Korea Kusini wanaohudumu katika UNMISS kupitia wanasayansi na wakulima wa eneo la Bor katika. Pia tunakuletea muhtasar…
  continue reading
 
Kwa manusura wengi wa usafirishaji haramu wa binadamu, msaada hukatika mapema mno. Kutokana na rasilimali chache na mifumo isiyotoa huduma za muda mrefu, wengi hutolewa kwenye mfumo bila kupata usaidizi wa kutosha wa kisaikolojia au utambuzi unaozidi simulizi zao. Malaika Oringo, mama, mwanaharakati, na manusura wa usafirishaji haramu wa binadamu a…
  continue reading
 
Kikosi cha 4 cha ulinzi wa amani kutoka Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB MONUSCO, kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo DRC kwa gwaride maalumu la makabidhiano lililofanywa na Tanzqrf ya 4 pamoja na Tanzqrf ya 5 katika makao makuu ya kikosi hico mjini Beni Mavivi katika jimbo la ki…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangaziz siku ya Haki za Binadamu tukikuletea ujumbe wa Volker Türk, Safari ya manusura wa usafirishaji haramu wa binadamu, na vikosi vya 4 na 5 vya ulinzi wa amani kutoka Tanzania nchini DRC.Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ametumia Siku ya Haki za Binadamu hii leo kutoa onyo kali akisema ulin…
  continue reading
 
Latest available figures published on Tuesday show more than 272 million children around the world were out of school through 2023, underscoring a deepening global education crisis. That’s according to UN education and cultural organization, UNESCO, which says that despite lack of access, significant progress has been made in advancing gender parit…
  continue reading
 
Despite widespread suffering driven by escalating conflict, displacement and disasters, Myanmar’s humanitarian emergency has become all but “invisible” to the world, the top UN official in the country has warned. Gwyn Lewis, the UN’s interim Resident and Humanitarian Coordinator for Myanmar, issued the alert during a visit to UN Headquarters, where…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea ufafanuzi wa umuhimu wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za binadamu kutoka kwa Seifu Magango Msemaji wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa ambaye anaanza kwa kuzungumzia azimio la tamko hilo la haki za binadamu.Utafiti uliofanywa na Tume ya Ulaya kwakushirikiana na shirika la Umoja wa Mataifa linalao…
  continue reading
 
For many survivors of human trafficking, support often ends too soon. With limited resources and systems that fail to provide long-term care, many are thrown out of the system — left without proper trauma support or recognition beyond their stories. Mother, activist, and human trafficking survivor Malaika Oringo is determined to change that. As the…
  continue reading
 
Katika dunia inayohitaji mshikamano ili kufikia maendeleo, mchango wa watu wanaojitolea umeendelea kuwa nguvu muhimu ya kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa. Kila mwaka tarehe 5 mwezi Desemba, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanaojitolea, mwaka huu ikiwa imebeba maudhui“Kila Mchango Una Umuhimu.” Maadhimisho y…
  continue reading
 
Katika eneo la Tigray kaskazini mwa Ethiopia, jitihada za kuimarisha makuzi na elimu kwa watoto wenye ulemavu zinaendelea kuleta matumaini mapya, kupitia programu inayoungwa mkono na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu na Masuala ya Dharura OCHA, na Mfuko wa Dharura wa Umoja wa Mataifa, CERF. Je nini kinafanyika? Sheilah Jep…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia masuala ya haki za binadamu na maandamano ya amani nchini Tanzania, siku ya kujitolea tukikuletea ujumbe wa mfanyakazi wa kujitolea, na elimu jumuishi kwa ajili ya watu wenye ulemavu nchini Ethiopia.Wakati Tanzania ikijiandaa kwa maandamano makubwa yaliyopangwa kufanyika tarehe 9 Desemba siku ya maadhimisho ya Uhuru, Of…
  continue reading
 
Wakati Tanzania ikijiandaa kwa maandamano makubwa yaliyopangwa kufanyika tarehe 9 Desemba siku ya maadhimisho ya Uhuru, Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa OHCHR imetoa tahadhari na wito kwa serikali ya taifa hilo la Afrika Mashariki. Seif Magango ni msemaji wa ofisi ya Haki za binadamu ametufafanulia kuhusu tamko lao.…
  continue reading
 
More than two years of conflict in Sudan have brought mass displacement, widespread hunger, the destruction of entire cities, and an end to the rule-of-law. Despite limited access – especially to the killing fields of Darfur – UN human rights office, OHCHR, continues to document violations, support humanitarian response efforts, and amplify the voi…
  continue reading
 
Ukatili wa kijinsia si janga la mtu binafsi, ni janga la Taifa zima,” Hii ni kauli ya Mwanaharakati na Mtetezi wa haki za wanawake na wasichana nchini Kenya wakati huu ambapo dunia bado inaadhimisha siku 16 za kuhamasisha umma kutokomeza ukatili wa kijinsia, maudhui ya mwaka huu ni “ukatili dhidi ya wanawake mtandaoni.” Selina Jerobon wa Idhaa hii …
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Kenya kwa mwanariadha na mchchemuzi wa masuala ya wanawake, akieleza hatua zinazochukuliwa kutokomeza dhulma wa kijinsia. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na jifunze lugha ya Kiswahili.Huku mapigano yakizidi kushika kasi katika eneo la Kordofan nchini Sudan, Kamishna Mkuu wa Haki za…
  continue reading
 
Umoja wa Mataifa leo Desemba 3 unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu kwa ujumbe mzito kutoka kwa Katibu Mkuu António Guterres ujumbe unaotaka jamii ziwe si tu zinazoweza kufikiwa na watuwenye ulemavu, bali pia zenye ujumuishi wa kweli. Flora Nducha na taarifa zaidiBy Flora Nducha
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia ujumbe wa Katibu Mkuu kuhusu siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu, simulizi ya Mwalimu mwenye ulemavu wa kuona na huduma za afya ya uzazi kwa wasichana vigori nchini Kenya.Umoja wa Mataifa leo Desemba 3 unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu kwa ujumbe mzito kutoka kwa Katibu Mkuu António Guterres ujumb…
  continue reading
 
Syria is working hard to turn the page on its dismal human rights record under the former Assad regime – allowing the UN rights office (OHCHR) access to the country following years of freezing officials out. Though the country remains fragile, the resilience of its people – and the political will to change shown by transitional authorities – is hel…
  continue reading
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi UNFPA kupitia ufadhili kutoka kwa asasi ya Adolescent Sexual and #ReproductiveHealth Development Impact Bond, limewezesha wasichana nchini Kenya kupata huduma za uzazi wa mpango bila malipo, taarifa muhimu, na kufanya maamuzi sahihi na hivyo kulinda afya zao na kuboresha mustakabali wao.…
  continue reading
 
Loading …
Copyright 2025 | Privacy Policy | Terms of Service | | Copyright
Listen to this show while you explore
Play