Search a title or topic

Over 20 million podcasts, powered by 

Player FM logo

MWA Podcasts

show episodes
 
Artwork

1
MWA Podcast - Woodworking Conversations

Mark Hicks, Sean Wisniewski, Kyle Barton, & Brian Obst

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Weekly
 
The Modern Woodworkers Association Podcast brings to you in-depth interviews with woodworkers of note in our community - from outstanding hobbyists to award winning, international woodworkers. We also bring to you a bit of woodworking news and other items of note. And we wrap things up with our fortnightly beer recommendations. Whether you are a hand-tool, powertool, or hybrid woodworker, we think you will find something of interest in every episode.
  continue reading
 
Artwork

1
MWA: Muggles With Attitude

Alice Sullivan, Micah Sparkman, and Jeff Lake

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
We're reading the Harry Potter novels and podcasting about them! Join us as we walk down the halls of memory and of Hogwarts, Hoggy Warty Hogwarts! We are Alice Sullivan (@alicemsullivan), Micah Sparkman, and Jeff Lake (@jeff_lake).
  continue reading
 
to laugh; to get the scoop; to cause mischief, these are definitions of the slang word, "kiki". This show is for the eccentric, as well as, the "not quite right" from acid house to zydeco. Expect artists such as Prince, Roy Orbison, Arctic Monkeys, Disocdeine, Stacy Lattisaw, Nina Simone, Abe Vigoda, Felix Mendelssohn, and James Blake, among millions of others! We mix it up, spray paint it, spin it, and slide it to you. So now that you have a visual of The KiKi....it's time for audio penetra ...
  continue reading
 
Artwork

1
Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Weekly+
 
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
  continue reading
 
Artwork

1
Wimbi la Siasa

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly+
 
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
  continue reading
 
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
  continue reading
 
Artwork

1
Siha Njema

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Weekly
 
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
  continue reading
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
  continue reading
 
Artwork

1
Nyumba ya Sanaa

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly+
 
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
  continue reading
 
Artwork

1
RFAMD

Philip James

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Remove thyroid nodules without surgery. Consider ablation instead, the non-surgical way to treat benign and malignant thyroid nodules. Hosted by Philip James from the Doctor Thyroid podcast.
  continue reading
 
Artwork

1
The SJP Show

scottwyatt

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly+
 
Travel down memory lane as Scott Joseph Phares talks about his beginnings in music all the way to current day. Plus hear stories and songs as well as interviews with other Artists and Music Business professionals.
  continue reading
 
Artwork

1
Doctor Thyroid

Philip James interviews top thyroid experts about surgery, nutrition, endoc

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
This show is for thyroid patients determined to improve their quality of life, with the best information available. You will gain insight from those who have discovered improved well-being regardless of setbacks, and hear from leading healthcare professionals, including endocrinologists, surgeons, functional medicine practitioners, and radiologists.
  continue reading
 
Artwork

1
Connecting Minds

Africa Business Radio

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
The Mandela Institute for Development Studies (MINDS) is an Africa-wide think tank which provides a forum for dialogue, information dissemination and networking, underpinned by rigorous research on the different elements of African Heritage in order to shape policy and practice on governance, economic development and the evolution of African institutions. Support this podcast: https://anchor.fm/connectingminds/support
  continue reading
 
Artwork

1
MAELEZO PODCASTS

Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.
  continue reading
 
Welcome to Unblocking Success, a London Drainage Facilities production—'London by name, South East by nature'. With over 17 years of experience and a proud reputation for first-time fixes and outstanding customer service, we are dedicated to exploring the insights and innovations of the service industry. Join us as we sit down with some of the brightest minds in the field—from property and block managers to heads of facilities and visionary entrepreneurs. Each episode delves into their uniqu ...
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Ukeketaji wa wasichana bado ni changamoto kubwa katika baadhi ya maeneo ya kaskazini mwa Kenya, licha ya marufuku ya kitaifa na juhudi za uhamasishaji zinazoendelea. Takwimu za Kitaifa KNBS na zile Wizara ya Afya zinaonyesha kuwa asilimia 83 ya wanawake na wasichana wa Marsabit na 66 wa Isiolo tayari wamekeketwa—ikiziweka kaunti hizi miongoni mwa m…
  continue reading
 
On this episode we welcome Diane Deery as our guest. Diane is an art instructor at The Hill School in Pottstown, Pennsylvania, where she teaches woodworking and photography. An accomplished artist in her own right, Diane is also a dedicated educator inspiring the next generation of artists and craftspeople. This is a fun and informative conversatio…
  continue reading
 
Makala hii imeangazia kwa kina chimbuko la watu wa kabila la wanande, ambao kati yao wapo ambao wamejikita mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo maarufu kama wayira na pia wengine ambao wamejikita katika mji wa Kasese na maeneo mengine nchini Uganda na ambao wanafahamika kama Bakonzo, kufahamu zaidi sikiliza makala hii na mwandishi wetu Ru…
  continue reading
 
Miongoni mwa mambo yalioamuliwa ni kuhamasisha kiasi cha fedha trilioni 1.3 kila mwaka kufikia 2035 wa ajili ya hatua za tabianchi, kuimarisha fedha uhimilivu mara tatu kufikia 2035. Msikilizaji, suala la kuharakisha ufadhili wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi inasalia kuwa kipaumbele cha dharura hasa kwa nchi zinazoendelea ambazo zina athir…
  continue reading
 
Misitu ya mvua barani Afrika kimsingi imejikita katika Bonde kubwa la Kongo, msitu wa pili kwa ukubwa duniani wa kitropiki, unaohifadhi wanyamapori wa kipekee kama sokwe, na tembo wa msituni, pamoja na maeneo mengine muhimu kama vile Misitu ya Guinea ya Afrika Magharibi, misitu ya Afromontane Mashariki, na misitu ya pwani kutoka Kenya hadi Msumbiji…
  continue reading
 
Baada ya shinikizo kutoka kwa Marekani, waasi wa M23/AFC waliondoka kwenye mji wa Uvira, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Hata hivyo, rais Felix Tshisekedi ameelezea kitendo hicho kama kiini macho kwa jumuiya ya Kimataifa, kauli ambayo imeungwa na mkono na jeshi la FARDC wanaosema, waasi hao wamejificha katika milima inayopatikana na…
  continue reading
 
Msikilizaji Mashindano makubwa zaidi ya soka barani Afrika, Kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 yanaingia katika siku yake ya tatu leo jumanne ambapo jumla ya timu 24 za mataifa ya Afrika zikiwania taji hilo. Leo DRC wanamenyana na Benin, Tanzania wanakutana na Nigeria. Unazungumziaje maandalizi ya nchi za Afrika Mashariki na kati ?Nini…
  continue reading
 
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeongeza muda wa mwaka mmoja kwa ujumbe wa kulinda amani nchini DRC, wakati mapigano yakiongezeka mashariki mwa nchi hiyo kufuatia mashambulizi mapya ya waasi wa M23. Uamuzi huu unakuja wakati mjadala ukiendelea kuhusu ufanisi wa MONUSCO nchini humo. Je, unaamini hatua hii itasaidia au ujumbe huo umepoteza ua…
  continue reading
 
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili Desemba 21, wakati tukielekea kutamatisha mwaka 2025, ambapo nakukumbusha baadhi ya makala tulizokuwa nazo mwaka huu, utapata kuskiliza makala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lakini pia sehemu ya makala kuhusu mambo ambayo ni miiko kutoka makabila mbalimbali, na mwisho kabisa nitakuletea burudani…
  continue reading
 
Wakati viongozi wa dunia, wanasayansi na watunga sera wanapokutana katika miji mikuu ya Dunia kujenga hoja kuhusu hatima ya sayari kupitia mikutano ya tabianchi ya Umoja wa Mataifa, Wataalamu wa lugha,, walimu pamoja na wanafunzi waaendeleza mijadala. Kaulimbiu ukiwa ni namna lugha adimu ya kiswahili inavyotumika katika kupambana na mabadiliko ya t…
  continue reading
 
Makala hii imeangazia hatua ya hivi karibuni ya rais wa marekani Donald Trump ya kuongeza orodha mpya ya mataifa zaidi yakiwemo ya Afrika ikiwemo Tanzania, ambayo raia wake wanazuiwa kuingia Marekani, tumekuuliza Je? hatua hii ni ya kibaguzi ama inalenga kuulinda usalama wa Marekani? Na kwa mtazamo wako Hatua hii Ina maana gani? Ungana na mwandishi…
  continue reading
 
Kumekuwa na hisia mseto tangu waasi wa AFC/M23 wanaoungwa mkono na Rwanda watangaze kuwa watawaondoa wapiganaji wao katika mji wa Uvira mkoani Kivu Kusini mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.Je? shinikizo la Marekani litazaa matunda? sikiliza maoni ya wasikilizaji wetu katika makala hii ya Habari rafiki…
  continue reading
 
Hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, si shwari licha ya kutiwa saini kwa mkataba unaolenga kusitisha vita ambavyo vimekuwa vikiendelea kwa muda wa miaka 30. Waasi wa M23/AFC wameudhibiti mji wa Uvira. Marekani inaonya kuichukulia hatua Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi hao ambao sasa wameahidi kuondoa vikosi vyake katika mj…
  continue reading
 
Watalaam wa wanyama wanasisitiza wanyama wote wanaochinjwa ni sharti kutimiza viwango vya juu ikiwemo mwonekano ,afya na usafi. Na kabla kuchinjwa wanyama hao kwa mfano ngombe ,hukaguliwa na kutengwa ili kubainisha nyama yao ni salama. Kwa mlaji unashauriwa kununua nyama iliyo na muhuri ambayo ni alama ya kuonesha nyama hiyo imekaguliwa na kuthibit…
  continue reading
 
Wilbur returns to answer the 5 Other Questions. We explore dust collection, pine (the other soft wood), and some great tools to add to your gift list. Check it Out! Wilbur Pan Giantcypress.net @wilburpan on Instagram WWing News Lee Valley Clue Boxes Harvey Tools - new Gyro Air G-700Pro Dust Processor Blue Spruce MIDI Card Scrapers Bearkat Wood - Dr…
  continue reading
 
Tarehe 14/12 dunia iliadhimisha miaka 60 ya azimio la kupinga ukoloni. Hata hivyo ukoloni katika sura zake za zamani na mpya bado unaathiri jamii zetu leo hii, baadhi wanaita ukoloni mamboleo.Je, ukoloni uliisha kweli Afrika au umebadilika tu? Je unaathiri vipi maendeleo ya Afrika? Nini kifanyike kuukomesha?Kupata mengi ungana na mwanahabari wetu R…
  continue reading
 
Nchini jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kituo cha Jambo redio, kimejitwika jukumu la kuelimisha jamii kuhusu masuala ya mazingira na tabianchi, lakini muhimu sana ni haki zao. Katika mkutano wa tabianchi uliotamatika jijini Belem nchini Brazil, kituo cha Jambo Redio kilipokea tuzo kutoka kwa shirikika linalotetea haki za wanawake Women Engage for …
  continue reading
 
Jumapili nyingine kabisa tunakutana katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni la parler francophone na Muziki Leo nakuletea utamaduni wa kulinda urithi na uhifadhi wa utamaduni wa kiafrika. Kwenye Muziki tutahitimisha na burudani kutoka mwa msanii Aslay katika kibao chake alichoshi…
  continue reading
 
Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea Maonyesho ya ushirikiano na Ufaransa na Kenya katika tasnia ya kitamaduni na ubunifu kupitia mpango wa Création Africa. Na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuzi Ibrah kutoka nchini Tanzania…
  continue reading
 
Matibabu mengi licha ya kupendekezwa au kuorodheshwa sahihi ,yanakabiliwa na usugu wa vimelea tatizo linalofanya dawa hizo kushindwa kutibu inavyotakikana Dawa za kutibu Malaria ,TB na Kipindu Pindu zimetajwa kuathirika sana ,haswa dawa aina ya antibiotics ambazo hutumika kuwa matibabu ya kwanza ya kuua vimelea.…
  continue reading
 
Waasi wa AFC/M23 wanaosaidiwa na Rwanda, ni rasmi sasa wanaudhibiti mji wa kimkakati wa Uvira jimboni Kivu Kusini, hatua inayokuja licha ya wiki iliyopita DRC na Rwanda kutia saini mkataba wa amani.Tunamuuliza msikilizaji anazungumziaje kilichofanywa na waasi wa M23,,Nini kifanyike? na Je, msikilizaji yuko Uvira au amekimbia kutoka Uvira…
  continue reading
 
Leadership isn't defined by a job title—it's shaped by the experiences, values and people who influence our path. In this episode, host and senior wealth advisor Whitney Reagan sits down with Mariner's Chief Investment Officer, Katrina Radenberg, for a candid conversation about mentorship, growth and authenticity. Together, they explore the moments…
  continue reading
 
Leo ni siku ya kimataifa ya haki za binadamu, hata hivyo dunia inaadhimisha siku hii huku vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu vikiendelea kuongezeka kwenye maeneo mbalimbali duniani, maeneo yenye mizozo vitendo hivi vikiwa vya kuogopesha.Tumekuuliza unafikiri kwanini vitendo hivi vinaongezeka licha ya sheria za kimataifa kuwepo?Hali ya haki za…
  continue reading
 
Kampeni za uchaguzi nchini Uganda zimezidi kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu January 15 2025 ambapo Rais Yoweri Museveni aliyeingia madarakani mwaka wa 1986, anagombea tena muhula wa saba huku akishindana na wagombea wengine miongoni mwao mwanasiasa wa upinzani Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu Bobi Wine. Kampeni za mwaka huu zinafanyika huku …
  continue reading
 
Mada ya leo ni kuhusu kinara wa upinzani nchini Uganda Bob Wine pamoja na baadhi ya wagombea wengine wa upinzani wameendelea kunyanyaswa na vyombo vya usalama wanapoendelea na kampeni zao, tume ya uchaguzi ikilaani vitendo hivyo.Yanayofanyika Uganda yanashuhudiwa pia kwenye mataifa kadhaa ya Afrika .Tumemuuliza msikilizaji Hatua hii ya vyombo vya u…
  continue reading
 
On this episode, we’re catching up with longtime friend of the show, Wilbur Pan. Wilbur is a fantastic woodworker and a leading ambassador for Asian woodworking tools and techniques. He recently presented at the Woodworking in America event, and he’s here to share some excellent techniques and insights you’ll want to try out ASAP! Wilbur Pan Giantc…
  continue reading
 
Licha ya viongozi wa DRC na Rwanda kutia saini mkataba wa amani juma lililopita, mapigano yameripotiwa mashariki mwa Congo kati ya waasi wa M23 na jeshi la Serikali FARDC.Tulimuuliza mskilizaji Je hii ni ishara kuwa mkataba waliotia saini haujazaa matunda ,nani wakuwajibishwa kwa kinachotokea na Nini kifanywe kuleta utulivu mashariki mwa Congo,,…
  continue reading
 
Katika makala haya tujadili hatua ya ongezeko la visa vya wanasiasa wa upande wa serikali na upinzani kutumia makundi ya vijana au wahuni kutisha na kuvuruga mikutano ya mahasimu wao wa kisiasa hili likifanyika hata kwenye mitandao. Tunakuliza unafikiri kwa nini wanasiasa wanaendelea kutumia makundi ya vijana au wahuni katika siasa. skiza makala ha…
  continue reading
 
Makala ya wimbi la siasa, imeangazia hatua ya viongozi wa Rwanda na DRC ambao siku ya alhamisi desemba 04 watatia saini makubaliano ya amani, mbele ya rais wa Marekani Donald Trump hii ikiwa ni mwendelezo wa mapatano ya amani mashariki mwa DRC yaliyosimamiwa na Marekani yaliyotiwa saini na mawaziri wa mambo ya nje wa nchi hizo mbili juni 27. Profes…
  continue reading
 
Ripoti nyingi huonesha kuwa idadi kubwa ya wagonjwa wanaougua magonjwa yaliyotengwa au kusahaulika ni akina mama au watoto Hii ni kutokana na wao kutangamana moja kwa moja na mazingira ambayo huwa makazi ya vimelea vinavyosababisha magonjwa mbali mbali. Vimelea hao hukaa mchangani,kwenye maji au hupatikana kwenye kinyesi .…
  continue reading
 
Kate & Meighan of the Florida School of Woodwork return to answer the 5 Questions. We explore their favorite tools, seasoned and unseasoned woodworkers, and more. It's a fun and entertaining conversation. Check it Out! WWing News Lefkowitz Shave Horse Plans & Alexander Brothers’ Kits Lee Valley Tools - New Veritas Miter Plane Andy Klein’s new Blade…
  continue reading
 
Siku ya kimataifa ya mapambano dhidi ya UKIMWI, Umoja wa Mataifa unasema kupungua kwa misaada kunatishia dunia kufikia lengo la kudhibiti ugonjwa huu ifikapo mwaka 2030, huduma za kinga zimevurugika hasa kwenye nchi masikini. unazungumziaje siku hii, je dunia tumepiga hatua kukabiliana na ugonjwa huu? Skiza maoni ya baadhi ya waskilizaji.…
  continue reading
 
Viongozi wa Afrika na wale wa umoja wa Ulaya wamekutana nchini Angola, lengo likiwa ni kuimarisha ushirikiano wa usalama na kiuchumi, rasilimali za bara hilo zikimulikwa na mataifa yenye nguvu ambayo yameongeza kasi ya uwekezaji kwenye bara hilo. Tumekuuliza unaamini ushirikiano uliopo unanufaisha pande zote ? Ushirikiano wa aina gani Afrika inapas…
  continue reading
 
On this episode, we welcome back Kate Swann and Meighan Hornady from the Florida School of Woodwork. Kate founded the school in 2004 and has served as its Executive Director ever since. We chat with Kate and Meighan about the exciting new chapter ahead for the School. Check it out! Episode Links - Next Generation of Young Makers: Garrett R Pratt - …
  continue reading
 
Msikilizaji juma lililopita watu wenye silaha waliwateka wanafunzi zaidi ya 300 pamoja na waalimu katika shule moja kwenye jimbo la Niger nchini Nigeria, tukio linalojiri siku chache tangu kutekwa kwa wanafunzi wengine 25 katika shule ya wasichana kwenye jimbo la Kebbi pia huko Nigeria. Vitendo vya utekaji wa watoto vinazidi kuongezeka katika nchi …
  continue reading
 
Tunajadili hatua ya viongozi kadhaa wa Afrika akiwemo rais wa Uganda, Yoweri Museveni, na rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wamewateua watu wa familia zao katika nafasi za serikali, hali hii ikionekana kwenda kinyume na maadili ya kazi. Tunakuuliza Je, uteuzi wa ndugu serikalini ni sahihi au si sahihi? skiza Makala haya…
  continue reading
 
Loading …
Copyright 2025 | Privacy Policy | Terms of Service | | Copyright
Listen to this show while you explore
Play