Search a title or topic

Over 20 million podcasts, powered by 

Player FM logo

Hii Podcasts

show episodes
 
Artwork

1
Kiswahili program

Radio Vaticana - Vatican News

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Daily
 
Vatican News vipaumbele vyake: Habari za Baba Mtakatifu; Vatican, Kanisa la Kiulimwengu na Kanisa Barani Afrika. Tunazo habari za kisiasa na kijamii kutoka Barani Afrika na Dunia katika ujumla wake. Tovuti hii inapambwa na Tafakari ya Neno la Mungu pamoja na Makala mbali mbali. - Podcast - Radio Vaticana - Vatican News
  continue reading
 
Artwork

1
TANAPA PODCAST

Tanzania National Parks (TANAPA)

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Weekly
 
Karibu katika Podcast rasmi ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), inayoangazia mazungumzo ya kina kuhusu Uhifadhi wa Maliasili zilizopo ndani ya Hifadhi za Taifa, Elimu ya Uhifadhi, Utalii pamoja na Fursa za Uwekezaji. Vipindi vya Podcast hii vinajadili mikakati ya uhifadhi endelevu, ukuaji wa utalii, na ushirikiano na wadau wa maendeleo kwa lengo la kuhakikisha Rasilimali za Taifa zinatunzwa kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
  continue reading
 
Artwork

1
HII Talking Points

Huntington Ingalls Industries

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
HII is a global, all-domain defense partner, building and delivering the world’s most powerful, survivable naval ships and technologies that safeguard our seas, sky, land, space and cyber. As America’s largest shipbuilder and with a more than 135-year history of advancing U.S. national defense, we are united by our mission in service of the heroes who protect our freedom. HII’s diverse workforce includes skilled tradespeople; artificial intelligence, machine learning (AI/ML) experts; enginee ...
  continue reading
 
Tuzungumze Kifaransa Pamoja (Let’s Speak French Together) ni podikasti bora kabisa ya kujifunza Kifaransa hatua kwa hatua, kwa vipindi vifupi, wazi na vya vitendo. 🎧 Kila wiki, Mwalimu Philippe anakuelekeza kupitia hali halisi za maisha: kuagiza kahawa, kununua mkate, kuuliza njia, na mengine mengi. ✅ Imeundwa kwa wanaoanza na wale wanaorudia kujifunza, podikasti hii hubadilisha kati ya Kiingereza na Kifaransa ili kukusaidia kujifunza bila msongo wa mawazo — kwa mazungumzo rahisi, msamiati m ...
  continue reading
 
Are you someone who craves for financial independent, be able to make smart and sexy financial decisions and own up your money, but not knowing the how? You are in the right place! This podcast is filled with practical strategy, mindset, self-care & wellbeing to help you get clarity on your entrepreneurship journey. You will leave every episode feeling empowered and ready to take action in creating your unique version of abundant life.
  continue reading
 
Artwork

1
Min 🎧🎶

KiraVanilla:D

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Daily+
 
Hii I'm lonely_min your very own Diary friend! I give song recommendations, Gossip, life chapters and many more! Basically to keep you company; let's be friends (=^・ェ・^=) I host two podcasts : Lonely Min and Peach Tea! Follow me on instagram @peach_014.tea
  continue reading
 
Nikiwa Kama mwanahabari chipukizi naamini kuwa siku moja nitatimiza ndoto zangu lakini marafiki ndugu na jamaa wote na Kila mtu ndio nguzo yangu katika hii fani . Mimi sio mkamilifu endapo Kuna mahali nimekosea kwa kile ambacho nafanya Basi nitashukuru nikipata mtu na kuniongoza . Katika podcast hii hutuma habri na maelezo mbali mbali ya kijamii .
  continue reading
 
Redio podcast hii inalengo la kuhabarisha,burudisha na kuelimisha kwa kukuletea habari moto moto sanjari na matukio ya kijamii yasio chacha yanayo jiri kutoka kila sehemu Duniani kote. B-Voice Radio Dunia moja habari pamoja!
  continue reading
 
Artwork

1
Myself

Ankita Sinha

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Hii Everyone I'm Ankita Sinha..I love to sing,dance and much more.U can Go and Subscribe my channel on YT -Ankita Sinha......In this season or ep I'm going to tell you how to be motivated and 'bout singing and dancing and much more crazy thingz.... Thank you
  continue reading
 
Artwork

1
House Of Health

Samridhi Sharma

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Daily+
 
Hii I am Dr samridhi , Turning up and down the Hills with experience , diving into science and connects to some beautifull souls I developed the urge to inspire people around me . Come and join in this beautifull journey with me and seek light .
  continue reading
 
Artwork

1
Muziki Ijumaa

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
  continue reading
 
Artwork

1
VVLOGS VISHNU

VVLOGS VISHNU

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Hii, Its Vishnu Rajendran here... This Series in concentrating on Sherlock Holmes and the investigations followed by him to catch the culprits. Please support us... We do have a YouTube channel VVLOGS VISHNU, Please subscribe our channel too.... https://youtube.com/c/VVLOGS89
  continue reading
 
Artwork
 
RICHLIT FOREX ACADEMY, Hii ​​ni jukwaa la masomo la mtandaoni lililokusudiwa kuelimisha na kutoa rasilimali kwa watu wote ambao wana nia ya kujifunza biashara ya forex au wanataka kuboresha ufahamu wao wa biashara. Mwanzilishi wa RICHLIT FOREX ACADEMY ndiye mfanyabiashara wa kwanza wa vijana ..
  continue reading
 
Artwork
 
Hii guys, my name is Pranaya. My podcast is about how you will be positive in this negative world, how you can achieve your goals, dreams And how to stay positive in your life cycle. If you listen to the podcast and change your life, I will be very happy. Thank You!
  continue reading
 
Utashi wa Kihisia ni uwezo wa kudhibiti na kuratibu hisia zako ili zilete mguso chanya katika nafsi yako. Katika podcast hii utajifunza namna bora na sheria za kinafsi, kujenga na kujiimarisha katika utashi wa Kihisia
  continue reading
 
Hii This is Abhash Jha. I am a Singer , Songwriter , Composer , Poet and a Storyteller. Here I narrate stories and poems which you don't want to miss. So come , Let's live this saga together. You can also Listen to my songs , And I am sure you'll love them too. Thank you for your support !! Instagram - @abhash19 Youtube - Rhyme Attacks Business enquiries : [email protected]
  continue reading
 
Artwork
 
Hili ni Jukwaa linalowasaidia wajasiriamali wenye uchu wa mafanikio makubwa kama wewe, kupata wateja kirahisi mtandaoni. Nimetumia mbinu nyingi kuvutia wateja. Zipo zilizofaulu, na zilizofeli. Nime'Master zaidi zilizofaulu hatimaye internet imebadili maisha yangu. Kutoka 12,000 kwa siku, hadi Mil.3 kwa mwezi. Ungana nami hapa Ni'share nawe experience yangu. Ideas, mbinu na hata vitendea kazi ninavyotumia kupata mafanikio hayo. Hii ni njia yangu ya mafanikio (My path to success). Jifunze chuk ...
  continue reading
 
Sacred Heart Valley is a Heart Conscious Valley. In another word, it is a Heart Healing Valley. Imagine you arrive here in the community, you are welcome, but a community member and you feel so familiar with this person, and you feel you have known this person for aeons. You do not know what you are here, but it has its magnetism and feeling the remembrance of returning home, returning to your body and returning to your heart and unit with you soul. In Sacred Heart Valley, we share our voice ...
  continue reading
 
Artwork

1
Kadhaippoma - Talk From Heart

Kadhaippoma Talk from heart

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Hii Helloo Vanakam !! It's a random man talking about random things which we felt in our life and Will definitely trigger those moments . Apart from Talking and Listening , Feeling the Moments is Best ❤️ Insta : https://instagram.com/kadhaippoma_lets_talk?igshid=nlru18aa4ldf
  continue reading
 
Hii, My Name is Rohit Mewada owner www.HindiMeHelp.com I am a Blogger, Love to Help EveryOne! In This Podcast Series I'm going to share my Experiences and Learning with you in Hindi, Where you can learn more about Internet, Blogging, Social Media, Make Money Online and more. Connect with me on Social Media. www.RohitMewada.com/me.html ---- Send me a Audio Message: https://anchor.fm/rnmewada/message
  continue reading
 
Artwork

1
The Sensitive Subject

The Sensitive Subject

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Daily+
 
Hii!! Welcome to The Sensitive Subject family! Brothers and sisters we made this podcast to become one! This is our safe space to discuss all topics that are sensitive to our hearts and even controversial. This is a place of positivity, uplifting one another, on a higher frequency. So join us, so we can all grow together through this journey.
  continue reading
 
Artwork
 
Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha. Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika. Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi. Hakikisha unafollow ...
  continue reading
 
Ujumbe Muhimu Sana Kwa Wagonjwa Wa GOITA Kama wewe ni mgonjwa wa GOITA ambaye umekuwa unahangaika kwa muda mrefu na tatizo hilo bila ya kupata utatuzi wa uhakika basi naomba unisikilize kwa makini kabisa kwani huenda taarifa ifuatayo ikawa taarifa muhimu kuliko taarifa yoyote katika maisha yako. Baada ya kuwasaidia zaidia ya wagonjwa 200 wa GOITA nimekuja kugundua kuwa tiba ya ugojwa huo sio upasuaji tu kama madaktari wengi wanavyodai bali ni jambo ambalo ukilifahamu utaweza kuondokana na ta ...
  continue reading
 
Artwork
 
Hii!! I wanted to introduce myself..hey girl hey. I'm a little crazy! 😜I'm a little out there 👽While being my true self 👽😜 Forgive me, I don't have a fancy intro or outro, microphone, mainly cause I ain't fancy. I will swear, fart and burp, cause I'm normal. I'm a health coach at Steph Miller Fitness specializing in giving you permission to take baby steps, and to start loving yourself the way you are! My goal in our community is to bring you a balanced life where its okay to eat the chips a ...
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Kumekuwa na hisia mseto kuhusu hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya rais mstaafu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila, uzinduzi wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa mwakani nchini Uganda, hali ya nchini Tanzania wakati huu wananchi wakijiandaa kushiriki uchaguzi wa oktoba 29 mwaka huu, maandamano ya vijana Gen Z nchini Madagascar, na m…
  continue reading
 
📩 Join 94,000+ readers on my FREE weekly email newsletter: https://investor.fm/signup-for-articles/ Reader get-together sign up here: https://forms.monday.com/forms/8ba7f1e57a4eb7f9cdc44171bb78cab5?r=use1 Client letter Part 1,2,3 & 4: https://investor.fm/tag/client-letter/ Read this article before you buy a stock: https://investor.fm/the-client-who…
  continue reading
 
Episodi hii inaangazia mazungumzo ya kina kuhusu zoezi la upandaji wa Mlima Kilimanjaro ambapo Profesa Kamuzora anaeleza uzoefu wake katika kupanda mlima kwa muda mrefu. Fahamu faida ya kushiriki kampeni ya “Twenzetu Kileleni katika kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru wa Taifa letu, kuhamasisha utalii pamoja na utunzaji wa mazingira. Host: Kamishna Msa…
  continue reading
 
Episodi hii inaangazia maeneo ya Malikale yanayosimamiwa na TANAPA na faida zake.Maeneo hayo yamebeba historia za kale, biashara ya utumwa, utawala wa machifu, ukoloni na uhuru wa Taifa letu.Sikiiiza TANAPA PODCAST Epsode 09 upate elimu ya kina kuhusu historia ya Taifa letu, asili na umuhimu wa kutunza tamaduni zetu.Eneo: Dar es Salaam.Host: Kamish…
  continue reading
 
Katika Episode hii tunaangaIa mazungumzo ya kuhusu Kampeni ya Twenzetu Kileleni 2015 inayofanyikaga Desemba 09 kila mwaka kukumbuka mashujaa wetu waliopigania uhuru wa Tanganyika ambapo kwa mwaka huo huo bendera ya Taifa ilipandishwa Mlima Kilimanjaro wenye kilele kirefu kuliko vyote Barani Afrika chenye urefu wa mita “5985 asl” kuangazia nuru ya U…
  continue reading
 
Episodi hii inaangazia uchambuzi wa kina kuhusu maneno mbalimbali yanayoleta mkanganyiko wa maana na matumizi yake katika jamii. Katika Episode 07 Mtopezi wa lugha ya Kiswahili kutoka Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) Ndugu Oni Sigala anachambua na kudadavua maneno kadha wa kadha yenye utata katika sekta ya uhifadhi na utalii. Eneo: Dar es sala…
  continue reading
 
Baadhi ya habari ambazo tumezipa uzito ni pamoja na mkutano wa 80 wa baraza kuu la umoja wa mataifa wiki hii ambapo viongozi wa dunia walipata nafasi ya kutoa hotuba zao, kujiuzulu kwa spika wa bunge la DRC Vital Kamerhe, na kuendelea kwa mapigano mashariki mwa nchi hiyo, kuidhinishwa kwa wagombea wa kiti cha urais nchini Uganda kuelekea uchaguzi w…
  continue reading
 
Sikiliza Episode 06 uchambuzi wa kina katika mwendelezo wa mada inayoeleza elima ya Uhifadhi ikihusisha Mila, Desturi, Tamaduni na Miiko iliyozuia uharibifu wa Maliasili za Taifa ambapo moja ya maeneo hayo kwa sasa ni Hifadhi za Taifa Host: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine Mbena Guest: Naibu Kamishna wa Uhifadhi na Maendeleo ya Biashara, Ma…
  continue reading
 
Baadhi ya habari ambazo tumezipa uzito ni pamoja na vurugu katika bunge la DRC na mchakato wa kumuondoa spika wa bunge hilo na maafisa wengine, mashindano ya dunia ya baiskeli kung’oa nanga siku ya Jumapili mjini Kigali, mji mkuu wa Rwanda, siasa za Uganda kuelekea uchaguzi mkuu wa mwakani, tumeangazia hali nchini Tanzania, Sudan kusini, uchaguzi w…
  continue reading
 
https://traffic.libsyn.com/secure/intellectualinvestor/Ep_263_-_Why_We_Bought_Aker_BP_A_Technology-First_Oil_Company_Part_4.mp3 📩 Join 94,000+ readers on my FREE weekly email newsletter: https://investor.fm/signup-for-articles/ Client letter Part 1,2 & 3: https://investor.fm/tag/client-letter/ Read this article before you buy a stock: https://inves…
  continue reading
 
TANAPA Podcast Episode 05 inaangazia mwendelezo wa mada inayoeleza elimu ya Uhifadhi iliyohusisha Mila, Tamaduni, Desturi na Miiko anuwai iliyozuia baadhi ya wanyamapori kuuwawa lengo likiwa ni kuhifadhi maliasili zilizokuwa ndani ya maeneo yaliyohifadhiwa ambayo baadhi yake kwa sasa ndio Hifadhi za Taifa tunazozishuhudia zikitiririsha nyomi ya wat…
  continue reading
 
🙋 Kipindi cha 7 — Kujitambulisha na kuzungumza kukuhusu Katika kipindi hiki cha **Parlons Français Ensemble**, Mwalimu Philippe anaonyesha jinsi ya kujitambulisha na kueleza wewe ni nani kwa Kifaransa. Jifunze kutaja jina lako, umri, uraia, shughuli upendazo (hobbies), na mengine mengi ukitumia sentensi rahisi na msamiati muhimu. Kinawafaa sana wan…
  continue reading
 
Karibu kwa makala ya Yaliyojiri wiki hii. Baadhi ya habari ambazo tumezipa uzito wiki hii ni makamu wa kwanza wa rais wa Sudan Kusini ashatkiwa kwa uhaini na mauaji, ajali ya boti nchini DRC. Tutaangalia hatma ya mkutano wa hali ya hewa nchini Ethiopia, Vilevile onyo la vifo vya malaria kuongezeka mwaka huu kutokana na kupunguzwa kwa misaada ya kig…
  continue reading
 
https://traffic.libsyn.com/secure/intellectualinvestor/262_Charlie_Kirk_and_the_Cost_of_Courage.mp3 📩 Join 94,000+ readers on my FREE weekly email newsletter: https://investor.fm/signup-for-articles/ My conversation with Charlie Kirk: https://thecharliekirkshow.com/podcasts/the-charlie-kirk-show/stoicism-and-the-soul-with-vitaliy-katsenelson My unf…
  continue reading
 
Wiki hii taarifa zilizokuwa gumzo kwenye vyombo vya habari ni kuhusu hukumu dhidi ya aliyekuwa waziri wa sheria nchini DRC, Constant Mutamba, nitakujuza pia kuhusu kampeni za uchaguzi mkuu nchini Tanzania, tutaangalia pia ajali ya boti nchini Nigeria iliyoua watu 30. Kimataifa, tutaangazia punde zaidi katika mzozo wa Urusi na Ukraine.…
  continue reading
 
Loading …
Copyright 2025 | Privacy Policy | Terms of Service | | Copyright
Listen to this show while you explore
Play