Search a title or topic

Over 20 million podcasts, powered by 

Player FM logo

Zanzibar Podcasts

show episodes
 
”This group has truly been an inspiration to me (…)” – Amir Sulaiman (US) Def Jam Poet, 2010. Apart from the international sound of melodic acoustic soul, it is the intelligent angle on social and societal issues that really makes up the essence of S.T.I.C.S. S.T.I.C.S. or Sound That Inspires Conscious Souls, have managed to inspire and provoke their audience with lyrics and music that challenges the boarders of acoustic soul, hip-hop and spoken word. S.T.I.C.S. consists of four members who ...
  continue reading
 
Artwork

1
Tommy's Corner

Thomas Carroll

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Daily+
 
Welcome to Tommy's Corner where I, Thomas Carroll, give a unique perspective on important affairs in the world Cover art photo provided by Joshua Hoehne on Unsplash: https://unsplash.com/@mrthetrain
  continue reading
 
Artwork

1
Nyumba ya Sanaa

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly+
 
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
  continue reading
 
Magic Set Editor Modern is a custom magic format made up entirely of custom sets and played on Lackey and Cockatrice, and this is the podcast about it. Join Pipsqueak and a series of guests as they talk the strategy, the meta, and the nitty gritty of this wild and fun format. Discord link: https://discord.gg/Q7uZvu6
  continue reading
 
Artwork

1
The Indian Ocean World Podcast

Indian Ocean World Centre

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
The Indian Ocean World Podcast seeks to educate and inform its listeners on topics concerning the relationship between humans and the environment throughout the history of the Indian Ocean World — a macro-region affected by the seasonal monsoon weather system, from China to Southeast and South Asia, the Middle East, and Africa. Based out of the Indian Ocean World Centre, a research centre affiliated with McGill University’s Department of History and Classical Studies, under the direction of ...
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Kundai Manamere (University of the Free State) joins Philip Gooding to discuss her newly published book "Malaria on the Move: Rural Communities and Public Health in Zimbabwe, 1890-2015." Scholar profile: https://www.ssrc.org/fellows/f1b62cd1-500a-eb11-a813-000d3a3be5cf/ Book: https://www.ohioswallow.com/9780821425862/malaria-on-the-move/ The Indian…
  continue reading
 
Everjoy Grace Chiimba (University of Bonn) joins Philip Gooding to discuss her ongoing paper, which explores youth narratives and organization following Cyclone Idai. Scholar profile: https://kulturgeographie-mainz.de/team/everjoy-chiimba/ The Indian Ocean World podcast is hosted by Dr. Philip Gooding, produced and edited by Sofia O’Reilly, and pub…
  continue reading
 
Prof. Devika Shankar (The University of Hong Kong) joins Philip Gooding to discuss her new book, An encroaching sea : nature, sovereignty and development at the edge of British India 1860-1950(Cambridge University Press, 2025). Scholar profile: https://history.hku.hk/staff-d-shankar/ Book: https://www.cambridge.org/core/books/an-encroaching-sea/F95…
  continue reading
 
Makala ya wiki hii imeangazia namna wasanii wanaoishi katika maeneo yenye vita mashariki mwa DRC wanavyojituma katika kuimarisha sanaa ya muziki na utamaduni wa Afrika. Mwandishi wetu Ruben Lukumbuka hivi karibuni alitembelea mji wa Goma mkowani Kivu kaskazini ambako alikutana na msanii wa muziki na mtengeneza filamu Malick Maliro ambaye anaeleza k…
  continue reading
 
Prof. Fiona Williamson (Singapore Management University) joins Dr. Philip Gooding to discuss her recently published monograph: Imperial Weather Meteorology, Science, and the Environment in Colonial Malaya (University of Pittsburgh Press, 2025). Their discussion covers the development of meteorological science under British rule in colonial Singapor…
  continue reading
 
Hii leo ninaungana na mwenzangu Ruben Lukumbuka ambaye hivi karibuni alitembelea mji wa Goma ambako alikutana na wasanii kadhaa ambao wamo mbioni katika kuhamasisha Amani na mshikamano wa jamii kupitia Nyimbo zao, na leo kwa namna ya pekee tutaungana na msanii mkongwe wa miaka mingi katika mji huo ambaye amejiwekea sifa kubwa katika eneo la maziwa …
  continue reading
 
Prof. Alastair McClure (Hong Kong) joins Dr. Philip Gooding (IOWC, McGill) to discuss his first monograph, Trials of Sovereignty: Mercy, Terror and the Making of Criminal Law in British India, 1857-1922 (Cambridge UP, 2024). Their conversation covers state violence, coercive mercy, and Indian national politics under the British Raj. A specialist in…
  continue reading
 
Sanaa ya muziki ni dawa inayofariji na kusaidia kutuma ujumbe wa amani kwa jamii amesema msanii wa miondoko mchanganyiko Gloire Tsongo almaarufu sweet Brown fresh Leader mjini Beni katika mkowa wa Kivu kaskazini mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, katika mazungumzo maalum na mwandishi wa habari wa RFI Kiswahili Ruben Lukumbuka alipotemb…
  continue reading
 
Karibu katika ya Afrika mashariki hii leo macho na masikio ya Makala haya yanatazama kasi na mapokeo ya ueneaji wa akili mnemba barani Afrika tukienega katika Mkutano wa Kimataifa wa AI kuhusu Afrika 2025, unaofanyika Kigali nchini Rwanda Mwandalizi na msimulizi wako naitwa Martin Nyoni nasema karibu tuwe soote hadi tamati…
  continue reading
 
Kasi ya ugunduzi na uvumbuzi katika maswala ya sayansi na teknolojia na ujio wa Internet sanjali na matumzi ya mitandao ya kijamii yanafanya wajamii kuwa katika hatari kumbwa kupoteza usiri wa taarifa zao. Baada ya mabadiliko makubwa ya teknolojia yamesababisha taarifa za watu kuwa ni moja ya mtaji mkubwa kwa watu wengine na makampuni makubwa Tanza…
  continue reading
 
Nyumba ya sanaa juma hili imekutana na wasanii wa mjini Beni mkoani Kivu kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ambao wamekuwa wakihimiza amani katika nyimbo zao, sanaa ya muziki ikikaribishwa kwa kiasi kikubwa na watu kutoka rika zote nchini na nje ya nchi. Mwenzangu Ruben Lukumbuka hivi karibuni alikutana na msanii wa Beni masha…
  continue reading
 
Maambukizi ya kifua kikuu yanaweza kuenezwa kwa urahisi katika miji mikubwa na maeneo ya umma ambapo kuna mkusanyiko mkubwa wa watu, kama vile vituo vya mabasi, masoko, na hata sehemu za kazi kama waendesha bodaboda wanavyojihusisha. Msikilizaji wa RFI Kiswahili karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwana kuangaza namna waendesha bo…
  continue reading
 
Mgogoro wa Mashariki ya DRC umeendelea kwa miongo kadhaa, na bado ni moja ya changamoto kubwa za kiusalama na kisiasa Barani Afrika. Katika Mashariki ya DRC, kuna makundi ya waasi kama vile M23, ADF, Twirwaneho, ambayo yameongeza umwagaji damu na kusababisha maelfu ya watu kuhama kutoka maeneo yao. Siasa za kikanda, ushindani wa madaraka kati ya ma…
  continue reading
 
Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tukiangaza safari ya miaka 25 ya UNESCO kuenzi lugha mama na nafasi ya lugha mama katika kukuza maendeleo ya jamii Mwandalizi na msimulizi wako naitwa Martin Nyoni nasema karibu tuwe sote hadi tamati ya Makala haya. Lugha ni muhimu kwa elimu na maendeleo endelevu, zikitumika kama njia kuu ambayo maar…
  continue reading
 
Dr. Philip Gooding (IOWC, McGill) is joined by Adam Bobbette (Glasgow) to discuss his 2023 book, The Pulse of the Earth: Political Geology in Java, published by Duke University Press. Their conversation covers the history of plate tectonic theory, human-earth systems relationships, and how to live and do research in the Anthropocene. Dr. Adam Bobbe…
  continue reading
 
Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama na kuangazia kwa namna gani wakazi wanaozunguka migodi ya madini kupitia uwajibikaji kwa jamii. Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa umekua, na kukua huku ni kutokana na ongezeko la asilimia 7.3 kwa mwaka 2021 hadi kufikia asilimia 9. Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii serikali ya Tanzania i…
  continue reading
 
Watu wenye ualbino Afrika Mashariki, na hasa nchini Tanzania, wanakutana na changamoto kubwa za kijamii, kisiasa na kiuchumi. Vilevile, wanakumbana na unyanyapaa, ubaguzi, na vitendo vya kikatili vinavyoweza kupelekea madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na mauaji na uharibifu wa miili yao. Ingawa jamii ya watu wenye ualbino imekuwa na umakini wa kimat…
  continue reading
 
Sekta ya Kilimo inaongoza kuwa na fursa nyingi za uwekezaji kwa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla kwa mfano uzalishaji wa Ngano, mafuta ya kupikia, matunda na mboga mboga, mbolea, Viatilifu, mbegu bora, vifungashio, kupunguza upotevu wa mazao baada ya mavuno na eneo la kilimo cha umwagiliaji.…
  continue reading
 
Karibu katika Makala ya Afrika mashariki, hii leo tunatuwama nchini Tanzania katika Mkoa Lindi uliopo kusini mwa Tanzania mahali ilipo ibuka vita vya majimaji mara hii ikiwa ni kumbukizi ya miaka 119 tangu kuibuka kwa vita vya Majimaji. Vita vya Majimaji vilipata mizizi yake katika eneo la Nandete Kipatimu, ambapo jamii za Matumbi zilijitokeza kwa …
  continue reading
 
Dr. Philip Gooding (IOWC, McGill) is joined by Dr. Lukas Ley and Tarini Monga (both Max Planck Institute for Social Anthropology) to discuss the research group, "S.AND - The Future of Coastal Cities in the Indian Ocean." Their conversation covers the shifting roles of sand in human environments, with particular attention to their current fieldwork …
  continue reading
 
This week, Dr. Philip Gooding (IOWC) is joined by Prof. James Warren (Murdoch) to discuss his monumental new book, Typhoons: Climate, Society, and History in the Philippines. Their conversation covers Prof. Warren's decades-long research project that led to this book, the impact of extreme storms on South East (and especially Philippine) history, a…
  continue reading
 
For the first episode of this season, we are trying something new. Instead of an interview, this week we turn the feed over to another, Marit Kleinert, who takes us to Zanzibar in the first episode of her new show, Beyond Theory. It is a fantastic piece of audio documentary, merging music, field recording, interview, and (yes) a little bit of socia…
  continue reading
 
Loading …
Copyright 2026 | Privacy Policy | Terms of Service | | Copyright
Listen to this show while you explore
Play