Search a title or topic

Over 20 million podcasts, powered by 

Player FM logo

Yesu Podcasts

show episodes
 
Hofu ya kukosesha ni mtanziko wa kisasa. Iwapo tungaliishi katika ulimwengu ambamo hatukumbani na kipengele cha kukosesha siku baada ya siku, maisha yangekuwa mazuri. Tunayo habari njema kuhusu kukosesha: Tayari kumeshughulikiwa. Ukihisi kuwa na mapungufu au mtu fulani amekukosesha, ningependa kukutambulisha kwa Mtu fulani Ambaye ameshinda na kujipatia ushindi dhidi ya mapungufu yote ya ulimwengu – yakiwemo mapungufu yako. Ili kuomba NAKALA YA BURE YA CHAPISHA ya kitabu hiki popote ulipo dun ...
  continue reading
 
Artwork
 
Sermon recordings from Pastor Yamikani Kalizang'oma and rotating guest preachers at Flood Church in Blantyre, Malawi. Flood Blantyre: Awakening a city of hope. Our mission: To serve the city in love and faith with authentic connections to develop a movement of hope filled people rooted in Yesu.
  continue reading
 
Artwork

1
Baho Podcast

Baho Podcast

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Ce mot "BAHO”, en kirundi(mot d'origine Burundaise) donne l'ordre de vivre. BAHO est aussi une invitation à la liberté. La Bible nous invite à vivre dans la liberté que Jésus nous a acquise à la croix. Avec ces podcasts, nous opposerons, avec votre aide et votre participation, la culture, la religion ou la manière dont le monde pense versus ce que la Parole de Dieu nous dit. Et sûrement que nous grandirons ensemble avec les témoignages que vous nous partagerez. Baho n'ubutumire bwo kubaho um ...
  continue reading
 
Hiki ni kipindi cha kila Mkristo anaye tarajia kwenda mbinguni, kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Fuata Bibblia Ikuongoze, Ina usika na MAULIZO, MAONYO na MAFUNDISHO ya Neno La Mungu. Soma: 2 Timotheo 3:16-17. Soma tena: Yohane 8:32 Lengo la Kipindi hiki ni, kuwaelimisha watu wa Mungu, katika Neno la Mungu. Kwakuwa Biblia ina sema katika: Methali 12:1. Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama. Kwahio kila Mkristo ana karibishwa katika kipindi hiki, cha ...
  continue reading
 
Artwork

1
MUZAMENYA UKURI

Jean Claude SABATO

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Weekly+
 
Ni mwitegure, nimwitegure! "Dore ndaza vuba nzanye ingororano, kugira ngo ngororere umuntu wese ibikwiriye ibyo yakoze. (Ibyahishuwe 22:12) This podcast uses the following third-party services for analysis: Chartable - https://chartable.com/privacy
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Send us a text Karibu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya. Tukiwa na imani, tunatangaza ushindi juu ya kila changamoto na kushukuru kwa kila fursa mpya. Jiunge nasi katika maombi haya yenye nguvu na amani, huku tukim…
  continue reading
 
Send us a text Katika podikasti hii utapata kujua Mungu anasema nini juu ya mwaka huu mpya wa 2026. Utapata neno la kutembea nalo mwaka huu wote. Na pia utapata ahadi za Bwana juu yako maisha yako katika mwaka huu mpya wa 2026. Pia utajifunza namna ya kuishi maisha ya kumiliki katika mwaka mpya wa 2026. Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram …
  continue reading
 
Send us a text Uvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba. Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho na litakusaidia kujua…
  continue reading
 
Send us a text Kuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu. Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kujizoeza kuamka bila kuchoka na kufurahia maombi ya usiku. Sikiliza sasa somo hili. Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram…
  continue reading
 
Send us a text Karibu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri. Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya maombi haya, na pia utajifunza ni wapi ulipokuwa unakosea na utajua namna ya kurekebisha makosa hayo. Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusai…
  continue reading
 
Send us a text ​Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya maombi hujibiwa na mengine hayajibiwi? Je, unatamani kuwa na maisha ya maombi yenye nguvu na yenye matokeo? Ikiwa umechoka kuomba maombi yasiyo na majibu na uko tayari kuona mabadiliko, basi video hii ni kwa ajili yako. Karibu ujifunze katika somo hili siri tano za kuomba maombi yenye nguvu. …
  continue reading
 
Send us a text Je, unatamani kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili maisha yako ya kiroho yabadilishwe kabisa? Je, umekuwa na kiu ya kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kutamani kunena kwa lugha mpya? Omba sasa maombi haya kwa imani na Mungu wa mbinguni atakuapatia haja ya moyo wako. "Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatif…
  continue reading
 
Send us a text MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent Morris Karibu kwenye maombi haya ya ukombozi kwa Damu ya Yesu Kristo. Damu ya Yesu ina nguvu ya kuleta uponyaji, uhuru, msamaha na ushindi dhidi ya nguvu zote za giza. Ungana nasi katika maombi haya na amini kwa moyo wako wote, kwa kuwa maandiko yanasema: "Nao wakam…
  continue reading
 
Send us a text MAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent Morris Karibu katika maombi haya ili kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako. Tunamhitaji sana Mungu katika maisha yetu kuliko kitu kingine chochote. Kwa hiyo chukua dakika kadhaa kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako. "Bwana akawa pamoja na…
  continue reading
 
Send us a text MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris Katika maombi haya tutamwomba Mungu atujalie roho ya unyenyekevu. Kupitia maombi haya, tunaweka mioyo yetu mbele za Bwana tukijifunza kutembea kwa unyenyekevu, kutii Neno lake na kuepuka kiburi kinachotuzuia kuona utukufu wake. Utaongozwa kuomba ili: Mungu akuvike moyo wa unyenye…
  continue reading
 
Hofu ya kukosesha ni mtanziko wa kisasa. Iwapo tungaliishi katika ulimwengu ambamo hatukumbani na kipengele cha kukosesha siku baada ya siku, maisha yangekuwa mazuri. Tunayo habari njema kuhusu kukosesha: Tayari kumeshughulikiwa. Ukihisi kuwa na mapungufu au mtu fulani amekukosesha, ningependa kukutambulisha kwa Mtu fulani Ambaye ameshinda na kujip…
  continue reading
 
Send us a text Katika episode hii, Mtumishi Innocent Morris anafundisha juu ya umuhimu wa kuanza siku yako pamoja na Bwana. Ujumbe huu unaleta mwanga juu ya nafasi ya Mungu katika kila mwanzo wa siku zetu na jinsi ushirika wa kila asubuhi na Roho Mtakatifu unavyoweza kubadilisha maisha yako kabisa. Ni wakati wa kujifunza, kuhamasika, na kuchochewa …
  continue reading
 
1 Wakorintho 3:12-1512 Lakini kama mtu akijenga juu ya msingi huo, dhahabu au fedha au mawe ya thamani, au miti au majani au manyasi, kazi ya kila mtu itakuwa dhahiri.13 Maana siku ile itaidhihirisha, kwa kuwa yafunuliwa katika moto; na ule moto wenyewe utaijaribu kazi ya kila mtu, ni ya namna gani.14 Kazi ya mtu aliyoijenga juu yake ikikaa, atapat…
  continue reading
 
Send us a text Can faith heal the body and spirit? Tune in to hear miraculous stories of divine intervention against serious illnesses like malaria, heart disease, cancer, and HIV. By exploring the powerful symbolism of the blood of Jesus and the importance of proper nutrition, we reveal how spirituality and health are deeply intertwined. Alongside…
  continue reading
 
Loading …
Copyright 2026 | Privacy Policy | Terms of Service | | Copyright
Listen to this show while you explore
Play