Global perspective Human stories
…
continue reading
UN Global Communications, Digital Solutions Unit Podcasts
UN News interviews a wide range of people from senior news-making officials at Headquarters in New York, to advocates and beneficiaries from across the world who have a stake in helping the UN go about its often life-saving work in the field.
…
continue reading
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
…
continue reading
This flagship podcast series from UN News takes its name from the words that correspondents at UN Headquarters in New York hear each night, at the end of the working day. We highlight the in-depth human stories behind the UN’s work and the way that it touches and impacts ordinary lives around the world.
…
continue reading
1
Over 272 million children worldwide out of school
10:09
10:09
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:09Latest available figures published on Tuesday show more than 272 million children around the world were out of school through 2023, underscoring a deepening global education crisis. That’s according to UN education and cultural organization, UNESCO, which says that despite lack of access, significant progress has been made in advancing gender parit…
…
continue reading
1
Myanmar’s deepening humanitarian crisis is ‘invisible’, UN official warns
10:19
10:19
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:19Despite widespread suffering driven by escalating conflict, displacement and disasters, Myanmar’s humanitarian emergency has become all but “invisible” to the world, the top UN official in the country has warned. Gwyn Lewis, the UN’s interim Resident and Humanitarian Coordinator for Myanmar, issued the alert during a visit to UN Headquarters, where…
…
continue reading
Gaza newborns ‘scarred by war before first breath’ by preventable maternal malnutrition: UNICEFSudan: Dangerous ordeal of El Fasher’s escapees is not over, warns UNFPASeven in 10 women activists have been abused online: UN WomenBy Daniel Johnson, UN News
…
continue reading
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo, mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA. Anafafanua maana za neno "PEKUPEKU."By Onni Sigalla
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea ufafanuzi wa umuhimu wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za binadamu kutoka kwa Seifu Magango Msemaji wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa ambaye anaanza kwa kuzungumzia azimio la tamko hilo la haki za binadamu.Utafiti uliofanywa na Tume ya Ulaya kwakushirikiana na shirika la Umoja wa Mataifa linalao…
…
continue reading
Leo katika Jarida la UNMlipuko wa kipindupindu wa mwaka huu nchini DRC ni mbaya zaidi katika kipindi cha miaka 25.Wananchi wanaojitolea wanavyosaidia wananchi wenzao nchini Sudan.Janga la kibinadamu Sudan haliwezi tena kupuuzwa, wakati ni sasa kulishughulikia.By Anold Kayanda/Selina Jerobon
…
continue reading
Sudan: WHO chief Tedros deplores 'senseless attacks' on civilians in South KordofanHumanitarians launch $33 billion appeal for 2026UNRWA condemns search of Jerusalem headquarters by Israeli officialsBy Daniel Johnson, UN News
…
continue reading
1
From victims to changemakers: Providing support to human trafficking survivors
10:57
10:57
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:57For many survivors of human trafficking, support often ends too soon. With limited resources and systems that fail to provide long-term care, many are thrown out of the system — left without proper trauma support or recognition beyond their stories. Mother, activist, and human trafficking survivor Malaika Oringo is determined to change that. As the…
…
continue reading
Syria one year after government change - UN rights office warns of ongoing killings and abuses Mozambique displacement crisis deepens as attacks intensify and aid supplies run low, UN reports South-East Asia: Climate disasters disrupt schooling for more than 4 million children, UNICEF saysBy Katy Dartford, UN News
…
continue reading
1
UN: Mchango wa watu wanaojitolea ni muhimili wa mabadiliko
3:03
3:03
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:03Katika dunia inayohitaji mshikamano ili kufikia maendeleo, mchango wa watu wanaojitolea umeendelea kuwa nguvu muhimu ya kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa. Kila mwaka tarehe 5 mwezi Desemba, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanaojitolea, mwaka huu ikiwa imebeba maudhui“Kila Mchango Una Umuhimu.” Maadhimisho y…
…
continue reading
1
Kutoka changamoto hadi mafanikio: Safari ya Kibra kupitia mfuko wa CERF
2:18
2:18
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:18Katika eneo la Tigray kaskazini mwa Ethiopia, jitihada za kuimarisha makuzi na elimu kwa watoto wenye ulemavu zinaendelea kuleta matumaini mapya, kupitia programu inayoungwa mkono na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu na Masuala ya Dharura OCHA, na Mfuko wa Dharura wa Umoja wa Mataifa, CERF. Je nini kinafanyika? Sheilah Jep…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia masuala ya haki za binadamu na maandamano ya amani nchini Tanzania, siku ya kujitolea tukikuletea ujumbe wa mfanyakazi wa kujitolea, na elimu jumuishi kwa ajili ya watu wenye ulemavu nchini Ethiopia.Wakati Tanzania ikijiandaa kwa maandamano makubwa yaliyopangwa kufanyika tarehe 9 Desemba siku ya maadhimisho ya Uhuru, Of…
…
continue reading
1
OHCHR yaitahadharishaTanzania kufuatia maandamano yaliyopangwa kufanyika tarehe 9 Desemba
3:43
3:43
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:43Wakati Tanzania ikijiandaa kwa maandamano makubwa yaliyopangwa kufanyika tarehe 9 Desemba siku ya maadhimisho ya Uhuru, Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa OHCHR imetoa tahadhari na wito kwa serikali ya taifa hilo la Afrika Mashariki. Seif Magango ni msemaji wa ofisi ya Haki za binadamu ametufafanulia kuhusu tamko lao.…
…
continue reading
1
‘Human rights for Sudanese ‘must be upheld’
14:04
14:04
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
14:04More than two years of conflict in Sudan have brought mass displacement, widespread hunger, the destruction of entire cities, and an end to the rule-of-law. Despite limited access – especially to the killing fields of Darfur – UN human rights office, OHCHR, continues to document violations, support humanitarian response efforts, and amplify the voi…
…
continue reading
Sudan: UN rights chief Türk condemns spiralling conflict in KordofansMalaria control faces biggest threat from growing drug resistance: WHOArab region pushed to limits by climate extremes: WMOBy Daniel Johnson, UN News
…
continue reading
1
GBV: Hakuna kisingizio cha mtu kupigwa, kuuawa au kunyang'anywa mali – Viola
5:59
5:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
5:59Ukatili wa kijinsia si janga la mtu binafsi, ni janga la Taifa zima,” Hii ni kauli ya Mwanaharakati na Mtetezi wa haki za wanawake na wasichana nchini Kenya wakati huu ambapo dunia bado inaadhimisha siku 16 za kuhamasisha umma kutokomeza ukatili wa kijinsia, maudhui ya mwaka huu ni “ukatili dhidi ya wanawake mtandaoni.” Selina Jerobon wa Idhaa hii …
…
continue reading
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo ukumbi ni wake mlumbi wa lugha ya Kiswahili Joramu Nkumbi kutoka nchini Tanzania, anafafanua maana za maneno "MADHALI"By Joramu Nkumbi
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Kenya kwa mwanariadha na mchchemuzi wa masuala ya wanawake, akieleza hatua zinazochukuliwa kutokomeza dhulma wa kijinsia. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na jifunze lugha ya Kiswahili.Huku mapigano yakizidi kushika kasi katika eneo la Kordofan nchini Sudan, Kamishna Mkuu wa Haki za…
…
continue reading
Ukrainians brace for another winter of hardship amid Russian invasion: OCHAUN deminers appeal for greater support to slow deadly legacy from world’s conflictsGaza: As fragile ceasefire holds, aid teams continue vital work, WHO saysBy Daniel Johnson, UN News
…
continue reading
1
Guterres: Kunapokuwa na ujumuishwaji wa kweli kila mtu ananufaika katika jamii
2:53
2:53
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:53Umoja wa Mataifa leo Desemba 3 unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu kwa ujumbe mzito kutoka kwa Katibu Mkuu António Guterres ujumbe unaotaka jamii ziwe si tu zinazoweza kufikiwa na watuwenye ulemavu, bali pia zenye ujumuishi wa kweli. Flora Nducha na taarifa zaidiBy Flora Nducha
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia ujumbe wa Katibu Mkuu kuhusu siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu, simulizi ya Mwalimu mwenye ulemavu wa kuona na huduma za afya ya uzazi kwa wasichana vigori nchini Kenya.Umoja wa Mataifa leo Desemba 3 unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu kwa ujumbe mzito kutoka kwa Katibu Mkuu António Guterres ujumb…
…
continue reading
1
Syria opens ‘new chapter’ on human rights
15:09
15:09
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
15:09Syria is working hard to turn the page on its dismal human rights record under the former Assad regime – allowing the UN rights office (OHCHR) access to the country following years of freezing officials out. Though the country remains fragile, the resilience of its people – and the political will to change shown by transitional authorities – is hel…
…
continue reading
1
Kuchukua hatua ya mpango wa uzazi kama msichana haimanishi unajihusisha na vitendo vya ngono kiholelaholela - Lucy
3:01
3:01
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:01Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi UNFPA kupitia ufadhili kutoka kwa asasi ya Adolescent Sexual and #ReproductiveHealth Development Impact Bond, limewezesha wasichana nchini Kenya kupata huduma za uzazi wa mpango bila malipo, taarifa muhimu, na kufanya maamuzi sahihi na hivyo kulinda afya zao na kuboresha mustakabali wao.…
…
continue reading
Mozambique: close to 100,000 flee violence and attacks in the past fortnight alone, warns UNHCRAsia: Lives upended by cyclones, ‘extreme’ rainfall on the rise, warn UN agenciesMillions of jobs at risk in Asia-Pacific as AI surges in wealthy nationsBy Daniel Johnson, UN News
…
continue reading
1
Jifunze Kiswahili: Maana ya methali "KOTI LA BABU HALIKOSI CHAWA"
1:15
1:15
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:15Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, leo mchambuzi wetu ni Dkt. Josephat Gitonga, ambaye ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya, kwenye kitivo cha Tafsiri na Ukalimani anafafanua maana ya methali "KOTI LA BABU HALIKOSI CHAWA".By Dkt. Josephat Gitonga
…
continue reading
Hii leo jaridani tukiendelea kukupa taarifa mbalimbali kuhusu siku 16 za kuhamasisha umma kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake, leo tunaelekea Mjini Hoima Magharibi mwa Uganda kusikia hisia za wanawake kuhusu ukatili dhidi ya wanawake mtandaoni.Watu takribani 100,000 wamekimbia makazi yao kaskazini mwa Msumbiji ndani ya wiki mbili, huku Shirika la …
…
continue reading
1
UN: Dunia ipo katika kipindi cha maamuzi kuhusu mustakbali wa ukimwi
2:50
2:50
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:50Kama tulivyokujuza le oni Siku ya UKIMWI Duniani na mwaka huu inaadhimishwa kwa onyo kali kuhusu janga hilo pamoja na wito wa kuchukua hatua. Ikibeba kaulimbiu “Kukabili misukosuko, kubadili mwelekeo wa hatua za UKIMWI,” Umoja wa Mataifa unasema dunia ipo katika kipindi cha uamuzi muhimu katika vita dhidi ya VVU. Flora Nducha na taarifa zaidi…
…
continue reading
1
“VVU si mwisho wa maisha” – Safari ya Pooja Mishra kutoka mshtuko hadi uongozi
3:19
3:19
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:19Pooja aliolewa akiwa na umri wa miaka 15, baadaye akiwa mdogo bado akagundua kuwa ana Virusi Vya Ukimwi, VVU, na leo ni Mratibu wa Kitaifa wa Vijana chini ya Muungano wa Kitaifa wa Watu wanaoishi na VVU nchini India (NCPI+), akifanya kazi moja kwa moja na zaidi ya vijana 1,800 kote India. Katika mahojiano yaliyofanywa na Anshu Sharma wa Idhaa ya Ki…
…
continue reading
Landmine casualties hit four-year high as global ban faces withdrawals, new use and funding cutsSri Lanka: UN warns of severe humanitarian impact after Cyclone Ditwah triggers deadly floodingGaza: Winter conditions worsen as OCHA scales up relief under fragile ceasefireBy Katy Dartford, UN News
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia ujumbe wa Umoja wa Mataifa katika Siku ya UKIMWI Duniani, simulizi wa mwathirika wa ugonjwa huu amabye aliolewa na umri wa miaka 15, na juhudi za UNICEF Wajir nchini Kenya za kuhakikisha ujumuishwaji wa watoto wenye ulemavu darasani.Leo ni Siku ya UKIMWI Duniani na mwaka huu inaadhimishwa kwa onyo kali kuhusu janga hilo…
…
continue reading
1
UNICEF na KISE wawapiga jeki watoto wenye ulemavu katika Kaunti ya Wajir nchini Kenya
3:05
3:05
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:05Katika Kaunti ya Wajir Kaskazini Mashariki mwa Kenya, Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu Maalum ya Kenya KISE wameanzisha mpango maalum wa kuwasaidia watoto wenye ulemavu kupata tathmini za kitabibu na kielimu. Mpango huu umeleta matumaini mapya kwa familia nyingi ambazo hapo awali zilikuwa n…
…
continue reading
1
India’s air pollution crisis nearing disaster, warns UN official
12:21
12:21
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
12:21Thick toxic smog and air quality or AQI levels up to 35 times higher than the World Health Organization (WHO) limits are turning Delhi’s winters into a recurring health emergency. Balakrishna Pisupati, head of the UN Environment Programme (UNEP) office in India, warns that pollution is “almost reaching the level of a disaster.” In an interview with…
…
continue reading
Jenin: UN “appalled” by apparent summary execution in the West BankMyanmar: Civilians pressured to return to unsafe areas before junta electionMeasles: WHO warns cases surging worldwide despite major drop in deathsBy Katy Dartford, UN News
…
continue reading
1
Katibu Mkuu wa UN ameitaka Guinea-Bissau kurejesha utawala wa kikatiba mara moja
2:14
2:14
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amelaani vikali mapinduzi yanayoendelea nchini Guinea-Bissau akitaka “urejeshwaji wa haraka na usio na masharti wa utawala wa kikatiba” baada ya wanajeshi kutwaa madaraka kufuatia uchaguzi mkuu wa uliofanyika tarehe 23 Novemba. Selina Jerobon na maelezo zaidi.…
…
continue reading
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF) kupitia programu yake ya stadi za maisha na mafunzo ya biashara iitwayo Ujana Salama , inayofadhiliwa na mfuko wa maendeleo ya jamii nchini humo TASAF kwa msaada wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imewezesha kikundi cha vijana nchini humo kujitegemea. Mmoja wa vijana wanu…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya amani na usalama nchini Guinea-Bissau, utapiamlo nchini Sudan na juhudi za UNICEF za kuwawezesha vijana ili waweze kujikwamua kimaisha nchini Tanzania.Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amelaani vikali mapinduzi yanayoendelea nchini Guinea-Bissau akitaka “urejeshwaji wa haraka na usio na masharti…
…
continue reading
1
WFP yaonya jinamizi la vita na njaa nchini Sudan ni mtihani usio na majibu
3:25
3:25
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:25Zaidi ya miaka miwili na nusu ya vita nchini Sudan imewaacha watu milioni 21 karibu nusu ya watu wote wa nchi hiyo wakikabili njaa kali, huku maeneo mawili yakithibitishwa kukumbwa na baa la njaa. Mapigano yamepungua kwa sasa katika baadhi ya sehemu za Khartoum, na masoko yanaanza kufunguliwa tena., Lakini Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa C…
…
continue reading
1
UNIDO: Building international bridges for development
4:18
4:18
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
4:18The United Nations Industrial Development Organization (UNIDO) may not have the same profile as some of the better know agencies within the system, but it is punching above its weight in terms of its impact on the economies of the developing world. At UNIDO’s Global Industry Summit in Riyadh, Saudi Arabia, UN News’s Khaled Mohamed spoke to Manuel M…
…
continue reading
Somalia declares drought emergency as hunger crisis deepens after failed rainsUkraine: more than 340 educational facilities damaged or destroyed this yearOver 600 million children exposed to violence at home, UNICEF warnsBy Ileana Exaras, UN News
…
continue reading
1
Kuweka picha za udhalilishaji kwenye mtandao wa intaneti si jambo zuri - Musisa Onya
2:13
2:13
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:13Siku 16 za uhamasishaji kupinga ukatili dhidi ya wanawake zikiendelea leo tunakupeka mjini Hoima Magharibi mwa Uganda kusikia maoni kutoka kwa wa mji huo kuhusu ukatili mtandaoni yakienda sanjari na kauliimbiu ya kampeni ya ya mwaka huu isemayo “Ukatili wa mtandaoni ni ukatili halisi na hakuna visingizo kwa ukatili mtandaoni”…
…
continue reading
1
WFP: Suluhisho bunifu kwa wafugaji wa maeneo yenye ukame nchini Kenya zaleta tija
2:40
2:40
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:40Katika maeneo yaliyoghubikwa na athari za mabadiliko ya tabianchi kaskazini mwa Kenya, wafugaji wamekuwa wakikumbwa na changamoto kubwa kwani ukame na mafuriko, vinatishia sio tu mali zao bali pia maisha yao. Lakini kupitia mradi wa bima ya mifugo unaoendeshwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP, kwa ushirikiano na asasi…
…
continue reading