Search a title or topic

Over 20 million podcasts, powered by 

Player FM logo

Kujenga Podcasts

show episodes
 
Artwork

1
Kujenga Amani: Peacebuilding in Africa

African Peacebuilding Network

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
The Kujenga Amani Podcast is the audio series of the Social Science Research Council's African Peacebuilding and Developmental Dynamics program's digital forum, Kujenga Amani (Swahili for "building peace"). Recorded at various workshops, conferences, and meetings organized by APDD, this series aims to provide listeners with critical knowledge and commentary from scholars, practitioners, activists, and policymakers in the field of African peacebuilding, while amplifying African voices and per ...
  continue reading
 
Artwork

1
Journey to Mother

Solid Gold Podcasts #BeHeard

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Cheryl-Jane (CJ) Kujenga has conversations with women who yearn for parenthood and are contemplating, going through or have gone through so called "unconventional" or "unspoken of" experiences to get there.
  continue reading
 
Artwork

1
Utashi Wa kihisia 101

Nicodemus Pesha

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Daily+
 
Utashi wa Kihisia ni uwezo wa kudhibiti na kuratibu hisia zako ili zilete mguso chanya katika nafsi yako. Katika podcast hii utajifunza namna bora na sheria za kinafsi, kujenga na kujiimarisha katika utashi wa Kihisia
  continue reading
 
Artwork

1
She's Bold

Najma Matengo

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
She’s Bold is a podcast where we challenge traditions and mindsets limiting women in Africa. Najma the host, interviews phenomenal women in Tanzania and the diaspora to uncover, defy and lay a foundation for other women to break the barrier. It's what every woman in Africa should know. The new episode drops every Saturday.
  continue reading
 
Artwork
 
Ni muda wa kuchukua nafasi yako katika meza ya H.W nasi tutawasilisha kwako mawazo ya thamani kwa maneno ya dhahabu. Mahali pa kwanza na pekee unapohitaji kuwa kwa ajili ya ustawi wako. Karibu tujifunze vingi. Pata nafasi ya kusikiliza mambo ya msingi sana yatakayonoa stadi zako, kukuongezea maarifa na kuchochea maendeleo yako ya kiutu. #Karibu_nyumbani.
  continue reading
 
Artwork

1
Naweza Show

Naweza Show

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza kipindi cha Naweza | Radio Free Afrika kila Jumamosi saa 11 jioni | Radio TBC Taifa kila Jumapili saa 11:30 jioni | Radio One kila Jumamosi saa 2:15 usiku Kipindi cha Naweza Show kinaletwa kwenu na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma (HPS)
  continue reading
 
Loading …
show series
 
In this episode of the Kujenga Amani Podcast, Professor Siphokazi Magadla reflects on her journey as a South African scholar of political science and journalism, and an activist who aims to center the existence, imagination, and hopes of African women, girls, and children in the work towards ensuring a future that sustains the dignity, vitality and…
  continue reading
 
Ikiwa unaanza au ni mzoefu tayari katika eneo la uwekezaji kupitia hisa, UTT, hati fungani (bonds) katika video hii mwanataaluma Mwl. Emilian Busara (MBA, CPA) katika uongozi katika biashara, miradi na fedha anakufundisha hatua kwa hatua mbinu rahisi na za kipekee za kuwekeza kwenye hisa na masoko ya fedha kwa mafanikio makubwa! Utajifunza: jinsi y…
  continue reading
 
"Nianze kwa kuzungumzia hili eneo... Mitikasi ya maisha yako, kutafuta kwako, kupambana kwako. Lifestyle yako, maizingira unayoishi, vinaamua, vinahitaji na vinajenga NGUVU YAKO." Anasema Najma Paul "Fanya vitu vinavyokukwaza, vitu vinavyokukera, katikati ya hivyo vitu kuna miujiza. Niamini mimi." Angalia toleo hili na mengine mengi kwa njia ya You…
  continue reading
 
This is a special episode featuring Victoria Charles Mwanziva interview with Najma Juma in 2017 on She's Bold radio show on Afro-radio Network. This episode encourage youth to seek information, learn and go for what they want without holding back. Victoria Charles Mwanziva is currently serving as the District Commissioner of Ludewa District, Njombe…
  continue reading
 
Jiunge nasi katika kipindi hiki tukijifunza umuhimu wa kujisomea na kujifunza katika maisha ya Prudence Zoe Glorious, kibinafsi na kitaaluma. Pata ufahamu, hamasa, na mafundisho yanayotokana na maisha yaliyojitolea kwa harakati ya maarifa. ZOE Prudence Glorious kwa sasa ni Afisa Mkuu wa Nia katika kampuni ya Prudence Zoe Glorious (PZG), aliyoianzis…
  continue reading
 
"Sisi sote tuna nafasi ya kustawi zaidi katika chochote tunachokifanya. Changamoto inayotukumba vijana wengi ni kwamba hatutambui na kuzifuata zile hatua muhimu zenye kutufikisha hapo. Muda ni mchache na sio sawa kwenda bila dira. Ndio maana leo nimeona niyazungumze haya yafuatayo..." Anasema Sebastian Kolowa katika mkutano wa nne wa Hub of Wisdom …
  continue reading
 
"Wewe unaamini kwamba huyo mwenzako unampenda kumbe kuna makosa makubwa sana. Twende pamoja tuangalie vijana wanakosea wapi na namna gani ufanye ili kuepuka au kurekebisha makosa." Anasema Bi Sadaka Gandi, mtaalamu wa saikolojia ya familia na mshauri mbobevu katika maswala ya mahusiano.Fuatilia matoleo haya katika H.W TV kwa njia ya YouTube na kwa …
  continue reading
 
Hauwi wa thamani kwasababu ya kile unachokipata bali kile unachokitoa. "Kwakuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna, apandaye haba atavuna haba. Apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu." Kitakachofanya bidhaa zako au huduma zako ziwe za thamani sio gharama yake bali ni manufaa yanayotokana na hiyo huduma.Ili upate faida kubwa kutokana na kile u…
  continue reading
 
"Start Small think Big". Zingatia mambo madogo. "Start Small, Think Big". Ukifanya vizuri katika uwanda mdogo hata siku ukiwa katika uwanda mkubwa, uwezekano ni kwamba utafanya vizuri. Wakati unapofikiria kujenga mambo makubwa anza kidogokidogo........................................................................Maoni yako ni muhimu na atunayatha…
  continue reading
 
"The more hands you shake, the more opportunities you create."Katika hatua za awali za kujenga biashara au asasi uwezekano mkubwa ni kwamba watakaojihusisha na wewe ni watu wanaokufahamu. Vivyo hivyo ili watu wakufungulie milango ya fursa kigezo kimoja wapo kikubwa ni namna gani wanakufahamu. Fuatilia mtiririko wa episode hizi katika YouTube: H.W T…
  continue reading
 
Watu wengi hudhani kuwa wakipata fedha nyingi ndio watafanya mambo fulani makubwa. Lakini ukweli ni kwamba wengi hawana umadhubuti wa matarajio yao, yapo hewani tu.Fuatilia mtiririko wa episode hizi kwa katika YouTube: H.W TV na Podcast: H.W PODCAST kila wiki.Maoni yako ni muhimu na atunayathamini sana, hivyo tuma ujumbe wako wa sauti kwa njia ya W…
  continue reading
 
'From a Rough to a Diamond'Mis. Halima Kopwe anaelezea safari yake ya ushindi na kile anachowashauri vijana wengine wenye kiu ya kustawi katika nyanja walizopo.EDITION 4 - THE WISE MEGA MEET-UP (Episode)Tembelea www.hubofwisdom/media kuangalia na kusikiliza zaidi. Toa maoni yako ili jukwaa hili lizidi kuwa bora kwa ajili yako, tumia 0753825794 au t…
  continue reading
 
Irene Simon Ivambi is the founder and Chief Executive Officer of a hair company called “Mrembo Naturals.” Around 2019, Irene and a few friends developed a hair movement called “Natural Hair Movement” that focused on educating Tanzanian women on using natural hair products. This episode highlights the journey of Irene in establishing a business that…
  continue reading
 
In this episode Bahati dissects the norms, traditions and mindset propelling abuse between intimate partners, Najma is curious to understand why 44% of Tanzanian women have experienced either physical or sexual violence by an intimate partner. Ms Bahati Cosmas Mandago is the Co-founder and CEO of InterContinental Well-Being Services, a company with…
  continue reading
 
In this episode, Najma interviews Diana Paul Chando, African Union Youth Ambassador. If you're an aspiring leader or leading a group of people whether in a company, government or non-governmental organisation this episode is for you. Diana explains how African Union Agenda 2023 is relevant to Youth and the practises that affect youth in leadership.…
  continue reading
 
"Tunaposema mpenyo wa kifedha maana yake ni kwamba mtu anatoka sehemu moja ya chini na kwenda katika sehemu nyingine ya juu.Ushindani ni mkubwa na hakuna mtu anayejali kwamba unalia au unalalamika. Watu wanataka kuona kwamba unaleta nini mezani." Anasema James Mwang'amba.Fuatilia muhtasari huu wa mazungumzo ili kufahamu dondoo za kukuweka sehemu ya…
  continue reading
 
Imani Luvanga is probably one of the youngest Media managers in Tanzania, she manages Kings FM Radio in Njombe, and she is also the host and producer of the Podcast known as Dig It with Imani. The podcast focuses on bringing awareness about Digital Rights, Inclusion, and Online Gender-based violence. She is a Thomson Reuters Changemaker and mentee …
  continue reading
 
This episode highlights the importance of personal development for successful families, companies, organizations, communities, and nations. What needs to be done to change the narrative of Tanzania, when it comes to working ethics? What personality traits contribute to the success or failure of our institutions, families, or nation? Modesta Mahiga …
  continue reading
 
This episode highlights the importance of personal development for successful families, companies, organizations, communities, and nations. What needs to be done to change the narrative of Tanzania, when it comes to working ethics? What personality traits contribute to the success or failure of our institutions, families, or nation? Modesta Mahiga …
  continue reading
 
How can you represent yourself online, in the age of the internet? Imani takes us through creating a personal brand and maintaining healthy relationships online to make the most in the internet and information age. Imani is a digital rights activist whose works continue to change a number of East Africans to understand digital rights and responsibi…
  continue reading
 
Unachotakiwa kufahamu kuhusu malengo. Anthony Luvanda anazungumzia manufaa ya kuweka malengo, sababu zinazowafanya watu wengi wasizingatie kuweka malengo na Kwanini watu wengi wenye malengo wanashindwa kutekeleza. Ufanye mini kuliepuka hilo? Tia maono yako kuhusu toleo hili. Tuma ujumbe wa sauti na kuelezea ulichojifunza nasi tutaambatanisha katika…
  continue reading
 
In this Episode, Najma interviews Chef Zenna Akuwa, a young woman who lives with a disability but uses her abilities to influence youth to eat healthily. Zenna offers guidance in eating healthily and debunks false perceptions about eating healthy. In Dar es salaam alone, more than 64% of women are overweight, as a country 60% of women living in urb…
  continue reading
 
As a first-time mother, you might be worried about the changes you are going through emotionally, physically, and even in your lifestyle. Find out how you can regulate these changes just by having a positive attitude. Dr. Phil, a mental health specialist is giving us advice on this episode, while Najma holds a chat with Seamê R. Ongala a new mother…
  continue reading
 
This episodes is about ' Redefining yourself in a culture which already has a template for women' the episode features an interview with Masuma Somji , a women's right activist. Coming from a Tanzania- Indian community, married at 19 , at the age of 38 she is back to claim her education, find out how she broke the glass of traditions to get here, a…
  continue reading
 
In this Episode Najma explores cosmetic surgery practices in Tanzania, the episode features deep analysis of what exactly is cosmetic surgery and its procedures, what are the possible side effects and how women can value and appreciate their bodies with the existence of factors like abuse, social media that can influence one to dislike their body a…
  continue reading
 
In this Episode, Najma reveals some of the wrong ideologies that propel more than 50% of women in Tanzania to use bleaching skin products. The episode features a psychological point of view highlighted by Psychologist Sylvie, who explains why women use skin-whitening products despite knowing the effects. Follow and Subscribe to this podcast on Spot…
  continue reading
 
Episode hii inafichua sababu zinazowapelekea wasichana kudhani sio wazuri, fikira hii imepelekea wengine kufanya maamuzi yalioathiri maisha yao. Wengine wameishinda fikira hii inayotawala katika jamii ya Kiafrika. Wamewezaje? Najma anamhoji Emmy Rose Rugumamu kuhusu kampeni yake ya kusaida wanawake wenye mauombo makubwa. Emmy Rose ni Communication …
  continue reading
 
Mwanadada Dina ni mmoja wa watu wanaoshangiliwa sana hapa Tanzania. Ameotesha mizizi ya ushawishi kwa hadhira yake kupitia umaridadi alionao katika media na harakati za kuwaleta wanawake wa kitanzania pamoja. Lakini nani ajuaye kuhusu mapito yake na kilichomfanya asimame na kuwa mfano bora hata leo. Hapa anatoa hamasa ya maisha. Mawazo yake juu ya …
  continue reading
 
"Mafanikio ya kifedha sio bahati, mafanikio yanakuja kwa kuwa na maarifa sahihi juu ya fedha, kwa juhudi, nidhamu binafsi na kwa kupambana. Mungu ametupa wote neema ila ni tabia zetu, imani na fikra zetu ndio zinazoamua ustawi wetu. Hizi ni kanuni kumi zitakazokujengea uwezo wa kustawi kiuchumi." Anaeleza Mwalimu Victor Mwambene, muelimishaji wa ma…
  continue reading
 
Ili mwanadamu aweze kutimiza kusudi la uwepo wake maishani ni lazima atumie na kuboresha uwezo wake binafsi. Kwa kufanya hivyo ndio atakuwa mwenye tija. Mosses Raymond anaeleza ukweli wa maisha, kwanini tujinoe, kwa namna ipi, na namna gani tujiendeleze kibinafsi. Kuwa sehemu ya mijadala hii kwa kutuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794.…
  continue reading
 
Kustawi kifedha na mafanikio ya uchumi kwa ujumla ni matokeo ya maarifa na juhudi zinazoelekezwa katika kutengeneza fursa na kuzitumia. James Mwang'amba ni mtaalamu wa masuala ya biashara na mhamasishaji. Ni mjasiriamali na mbobevu katika masuala ya fedha. Katika episode hii anazungumzia mbinu muhimu za kukua kifedha.…
  continue reading
 
"Tunaongea habari ya kuoa na kuolewa. Pamoja na kwamba wanasema ndoa haina fomula lakini kuna _best practices_ ambazo ukizifuata utaona matunda." Anasema Aunt Sadaka. Pata kufahamu kuhusu madhara ya kuoa au kuolewa mapema, kuchelewa, sababu zipi hupelekea na namna gani ya kushughulika nazo. Kuwa sehemu ya mijadala hii kwa njia ya whatsApp. Tuma nen…
  continue reading
 
Maendeleo ni kitu muhimu na tunahitaji uthubutu na uimara wa kifikra ili tufaulu."Na ukitaka kufaulu kuliko kwingi, jifunze sana kutokulaumu watu, jifunze kutokutegemea watu. Jifunze kutengeneza njia." Anasema Ally Masoud. "Mambo yote haya yanaanza na fikra ndugu zangu." @masoudkipanya....................................................Kuwa sehemu …
  continue reading
 
"Ninaamini haya mambo saba ukiyafanya basi kuna uwezekano mkubwa sana yakwamba ukafanikiwa katika jambo lolote unalotaka kulifanya." Anasema Anthony Luvanda. Mr. Anthony Luvanda anaelezea mambo yanayochochea mafanikio. #kanuni #mafanikio #luvanda #karibu_nyumbani ................. Kuwa sehemu ya Mijadala hii kwa njia ya WhatsApp kwa kutuma neno WIS…
  continue reading
 
"Wewe ambaye unahisi unakipaji fulani, kifanyie kazi. Natamani kila mmoja ajue ya kwamba Mungu amempa kila mtu uwezo, na hicho kipawa ndio sahani yako." Anasema Joel. "Kuna wakati nilihisi kukata tamaa, kipindi ambacho hakuna tumaini, katika hali kama hiyo Mungu analeta ujumbe, 'Mimi ni mtetezi wako, hautobaki kama ulivyo''' Joel Lwaga ni mwimbaji …
  continue reading
 
Dr. Chris Mauki mtaalamu na mbobevu katika maswala ya mahusiano. Hapa anaelezea siri tano zitakazokusaidia kufanya mahusiano yako yastawi, kukuweka tayari kwa ajili ya kuingia kwenye mahusiano, kukusaidia kutatua migogoro na mambo mengine mengi unayopaswa kuyajua ili kukufanya imara na kukupa ujuzi katika eneo mapenzi. Kushiriki mijadala hii kwa nj…
  continue reading
 
Je, unafahamu namna nzuri ya kupenda?Amri Amri anazungumza juu ya 'namna ya kupenda kweli.' Namna gani mwenza anatakiwa afanye kwa ajili ya kulinda na kuendeleza mapenzi ya kweli.Mambo ambayo hutakiwi kufanya kwenye mapenzi.Kuwa sehemu ya mojadala hii kwa njia ya WhatsApp kwa kutuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794.#Karibu_nyumbani…
  continue reading
 
In this episode, Najma is having a conversation with Young Anyanwu, a Nigerian young entrepreneur and therapist who helps people to heal from toxic emotions and hurtful life/workplace experiences impeding their growth and productivity. The discussion is about the most toxic behaviors that we tolerate in relationships.…
  continue reading
 
Loading …
Copyright 2025 | Privacy Policy | Terms of Service | | Copyright
Listen to this show while you explore
Play