Search a title or topic

Over 20 million podcasts, powered by 

Player FM logo

Kadha Podcasts

show episodes
 
Artwork
 
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
  continue reading
 
Artwork

1
Kadha Kaelunga

Kadha Kaelunga

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Hello Makkaley! Rithik & Varsha here to keep your weekend amazing with our podcast Kadha Kaelunga. In this podcast you would be listening to some amazing stories where we share about business and entrepreneurship content, some stories which motivates you, some amazing interviews from inspiring people and cool discussions from our friends. What are you waiting for? Hurry up and listen to our epsiodes. Follow us on Instagram for more updates: Rithik: https://instagram.com/rithik_dharan?igshid= ...
  continue reading
 
Artwork

1
Oru Kadha Sollatuma Makkale!

Oru Kadha Sollatuma Makkale!

icon
Unsubscribe
icon
icon
Unsubscribe
icon
Monthly
 
Hello Makkale(folks)!! This is a new venture for me! I'm going to be bringing to you one of the most interesting Tamizh history novel in detail! I hope it'll be a good way for you to get to know the story! It'll make you cherish our Culture and Tamizh history! I can assure you that it’ll be a great experience for you guys to listen to the tale of "Ponniyin Selvan" written by Kalki Krishnamurthy. Please do support the channel by sharing the video to your near and dear ones and all Tamizhans t ...
  continue reading
 
Presenting you the Tamil Podcast "Oru Kadha Sollata sir?", ft. Brindha Rajaram, an exclusive podcast for stories. This podcast soulfully aims at delivering the stories with apt voice modulation to provide best experience of hearing stories. This show aims at giving variety of episodes with different contents exclusively designed to keep you all engaged and entertained. More creative contents are on the way. Subscribe to our channel and stay tuned for more interesting stories. We need your su ...
  continue reading
 
Nadhimoolam Rishimoolam... Having read extraordinary stories written by Tamil authors in the last few years and translated them into the English for a prestigious publishing house in Chennai, Zero Degree Publishing, I developed an insatiable thirst to go in search of more such gems. What a revelation has it been! One's life time may not be enough to read all those wonderful penance like creations! Also, an opportunity to listen to a famous orator in Tamil, read out a story in Tamil, left me ...
  continue reading
 
Kalyana's I My Voice is a telugu podcast. Kalyana's I My Voice will delivers talk shows with reputed, famous celebrates and personalities. Kalyana's I My Voice will give best and pure audio programs only. Kalyana's I My Voice will give best stories, famous novels reviews. Kalyana's I My Voice is a best entertainer. Kalyana's I My Voice will take you to Olden days like radio time. Kalyana's I My Voice is a complete audio show. Kalyana's I My Voice will give more entertainment, happiness and fun.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Msikilizaji jamii ya Wamaasai kwa muda mrefu imekuwa ikitegemea ufugaji wa mifugo kama chanzo kikuu cha riziki na chakula, hata hivyo, mabadiliko ya tabianchi yaliyoambatana na ukame wa mara kwa mara yamilazimisha jamii hii kutafuta mbinu mbadala za kujipatia kipato, mojawapo ni ufugaji wa samaki.By RFI Kiswahili
  continue reading
 
Tunapofika mwisho wa mwaka, jamii huingia katika kipindi cha sikukuu kama krismasi na mwaka mpya, ni wakati wa furaha, sherehe na kukutana na familia, lakini pia ni kipindi ambacho matumizi ya fedha huongezeka, watu wengi hujikuta wakitumia zaidi ya uwezo wao na mipango kusimama, tunajadili namna gani unaweza kuwa na nidhamu ya matumizi ya mwisho w…
  continue reading
 
Msikilizaji juma lililopita shirika la kimataifa la kupambana na umasikini, OXFAM nchini Kenya, ilichapisha ripoti inayoonesha kuongezeka kwa pengo la usawa. Kwa mujibu wa shirika hilo, pengo la walionacho na wasio nacho linaendelea kuongezeka ambapo matajiri 125 wa Kenya kwa sasa wana utajiri wa zaidi ya watu milioni 42 raia wa Kenya. Tunajiuliza,…
  continue reading
 
Katika maeneo mengi nchini, hasa magharibi mwa Kenya, wasichana wengi wanaojikuta wakisuasua katika mitihani ya sekondari huishia kwenye ndoa za mapema na mimba za utotoni—mazingira yanayozima ndoto zao kabla hata hazijachanua. Lakini safari hii, upepo wa mabadiliko umeanza kuvuma. Serikali za majimbo, kwa ushirikiano na Shirika la Maendeleo la Ufa…
  continue reading
 
Msikilizaji katika uhalisia mgumu wa maisha ya wakazi wa Goma, hususan baada ya mji huo kuangukia mikononi mwa waasi wa AFC/M23, imeibuka hadithi ya kipekee ya uvumilivu na ubunifu wa wanawake. Kati ya changamoto za ukosefu wa ajira na kuyumba kwa uchumi wa familia, wanawake kwenye mji huo wamegeukia ujuzi wa jadi wa kutengenezaji wa kinywaji cha a…
  continue reading
 
Mkataba wa kibiashara kati ya Afrika na Marekani maarufu kama AGOA umefika tamati, ni mkataba uliokuwa unatoa fursa kwa nchi za Afrika kufikia soko la Marekani bila vikwazo vya kiushuru, bara hili likitengeneza faida ya mabilioni ya dola kupitia mkataba huu, hata hivyo kukoma kwake tayari kunashuhudiwa athari yalke kwenye baadhi ya nchi, kuanzia ka…
  continue reading
 
Msikilizaji katika nchi zote za Afrika Mashariki, kuna wimbi jipya la matamanio kuhusu hali ya biashara, vijana, wakiongozwa na ubunifu na ustahimilivu! Wakigeuza harakati zao kuwa biashara zinazostawi, kubadili changamoto kuwa fursa na ndoto kuwa ukweli. Tutazungumza na Andrew Lukuwi, yeye ni mjasiriamali kijana akiwa nchini Tanzania, pamoja na Dr…
  continue reading
 
Kulingana na ripoti ya umoja wa Afrika, bara hilo linapoteza takribani dola za Marekani bilioni 88 kila mwaka kupitia njia zisizo halali kama ukwepaji kodi, utakatishaji fedha, utoroshaji wa mali na mitaji na udanganyifu kwenye biashara. Kwenye Makala ya Gurudumu la Uchumi, tunajiuliza, Kwanini hali hii inaendelea licha ya uwepo wa sheria kali? Nan…
  continue reading
 
Leo hii tunatupia jicho uchumi wa bluu, eneo la kiuchumi linalotajwa kama suluhisho jipya la maendeleo endelevu, kukuza ajira na ubunifu, hata hivyo chini ya uso wa maji, maswali magumu yanajitokeza: Je, tunawekeza kimkakati kwa kuzingatia pia jamii zinazozunguka maeneo haya? Tutazungumza na Dr Ponsian Ntui mhadhiri kutoka chuo kikuu cha Mtakatifu …
  continue reading
 
Katika makala ya Gurudumu la Uchumi, tunazungumzia mabadiliko makubwa ya kiuchumi kuhusu namna malipo ya kidijitali yanavyochochea huduma jumuishi za kifedha, ukuaji wa uchumi, na mageuzi ya kidijitali kwenye nchi za Afrika. Wageni wetu leo ni Ali Mkimo mchambuzi na mtaalamu wa masuala ya uchumi akiwa Tanzania, pamoja na Lucy Nshuti Mbabazi, mkurug…
  continue reading
 
Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, na kwingineko, ukosefu wa ajira kwa vijana umesalia kuwa wa kiwango cha juu, wakati huu maelfu ya vijana wakihitimu vyuo vikuu kila mwaka. Bado tuko na Ali Mkimo, mtaalamu na mchambuzi wa masuala ya uchumi na biashara akiwa Tanzania, pamoja na Kamala Dickson kutoka asasi ya Agenda Participation Initiative ya nchini …
  continue reading
 
Msikilizaji leo tunalijadili swali ambalo linaathiri mamilioni ya vijana katika ukanda wa Afrika Mashariki, pamoja na wageni tutajiuliza, Je, mfumo wa elimu unawaandaa vijana kupata ajira ambazo hazipo tena? Au tunakosa fursa katika sekta zinazoibukia kama vile teknolojia na uchumi bunifu? Tutakuwa na Ali Mkimo, mtaalamu na mchambuzi wa masuala ya …
  continue reading
 
Bar ala Afrika ni tajiri kwa rasilimali, vipaji na uwezo, hata hivyo, mamilioni ya raia wake bado wamenasa katika lindi la umaskini, huku wachache wakilimbikiza mali zisizomithilika, Je, hii inasema nini kuhusu sera, vipaumbele na mustakabali wa bara la Afrika? Hivi leo kwenye Makala ya Gurudumu la Uchumi, tutajadili tumefikaje hapa, ina maana gani…
  continue reading
 
Katika bara lenye watu zaidi ya bilioni 1.4, ni watu wanne tu wanaomiliki utajiri zaidi ya nusu ya watu wote. Kulingana na ripoti mpya ya Oxfam, ukosefu huu wa usawa unaostua sio tu takwimu - ni ishara ya wazi ya ukosefu wa haki za kiuchumi uliokita mizizi, mifumo iliyovunjika na kukosekana kwa fursa. Kujadili haya yote nimewaalika Johnson Denge mt…
  continue reading
 
Mwezi mmoja uliopita nilipata bahati ya kuzungumza na Octavian Lasway, mhandisi wa maji na umwagiliaji, lakini pia yeye kijana ambaye anatumia teknolojia kuwasaidia wakulima wa nchi za Afrika Mashariki, kufanya kilimo biashara, kupata masoko na kuongeza thamani ya mazao yao. Huu hapa muendelezo wa mahojiano yetu.…
  continue reading
 
Hivi Leo tunaangazia suala nyeti linalogusa maisha ya mamilioni ya watu katika nchi zinazoendelea hususani za bara la Afrika, kama vile kwenye mzigo wa madeni unaozidi kuwa mzito. Tunajiuliza Nini hasa kiko hatarini? suluhisho gani linapendekezwa? Kujadili hili tunazungumza na Ali Mkimo, mchambuzi wa masuala ya uchumi na biashara akiwa Tanzania.…
  continue reading
 
Mwezi Juni mwaka 2025, Tume ya Ulaya iliorodhesha Kenya miongoni mwa nchi zenye changamoto ya utakatishaji wa fedha, huku Uganda ikipata afueni kwa kuondolewa kwenye orodha hiyo. Hatua hii ina maana kuwa mashirika ya kifedha – ikiwemo benki – zinalazimika kuzingatia kwa makini uhusiano wa kibiashara na miamala yoyote inayohusiana na nchi zilizo kwe…
  continue reading
 
Alhamisi ya Juni 12, nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa pamoja kupitia Mawaziri wa Fedha, waliwasilisha Bajeti ya mwaka wa fedha ya mwaka 2025/26. Waziri wa fedha John Mbadi aliwasilisha Bajeti ya Shilingi za nchi hiyo Trilioni 4.2. Bajeti ya Tanzania kwa mwaka huu wa fedha ni Shilingi za nchi hiyo Trilioni 56.49 huku Bajeti ya Uganda ikiwa ni…
  continue reading
 
Title: "Anbudan Thambi : A Listner"s Story" Description: Join us on "Anbudan Thambi" as we dive into the heartfelt journey of a sister navigating the intricate bond she shares with her brother. In this intimate podcast, she courageously unveils the layers of their relationship, exploring the highs and lows, the laughter and tears, and the profound …
  continue reading
 
In this episode the Speaker explains the problem and solution by the way of story telling (NOTE : This Episode is not intended to offend anyone ) Unakkenna venum sollu : https://open.spotify.com/episode/1RoyVAkfuUsH2C7ZNxXYl9?si=69aa979520b44e62 INSTAGRAM: https://www.instagram.com/kadha_mohan024?igsh=MXZ3ZGthNGYybDQ0Ng== DISCORD SERVER :https://di…
  continue reading
 
In this episode the podcaster talks about a person's life which he struggles for a true love . EPISODE 1 : https://open.spotify.com/episode/7A0YvqNgRUweaA2QKpzzzs?si=165a50986c3242a9 EPISODE 2 : https://open.spotify.com/episode/0VPVKFU4GyTbTZaJpM1pR3?si=5a0a8fe10a61436b EPISODE 3 : https://open.spotify.com/episode/6wwQ3T8Vw5zWST8uD3XTgF?si=7467de10…
  continue reading
 
In This Episode the host and his guest (AANDAI'S PODCAST SPEAKER SUSAN ) shares his best five songs to us and his music listening experience FOLLOW US AT GIVEN LINKSAANDAI'S PODCAST :https://open.spotify.com/show/5CGuNFX3GLzw03Y1G5AQbw?si=f0632e9f52ef441aINSTAGRAM : https://www.instagram.com/kadha_mohan024?igsh=MXZ3ZGthNGYybDQ0Ng==DISCORD SERVER :h…
  continue reading
 
The podacster shares about a person life and love to the listeners for his happiness (this episode is full of imagination) , before listening this story listen other podcast episode credits. story : mohan, editor: maayan ,background music 1 :Untill I found you , background music 2: avalum naanum from AYM. You can listen our podcast on Spotify, gaan…
  continue reading
 
# அற்றது பற்றெனில் - இந்திரா பார்த்தசாரதி-சிறுகதை| Atradhu Patrenil - Indra Parthasarathy- Short Story
  continue reading
 
In this episode the podcaster shares a love story In this world there is true love❤️❤️ Background music 1:galatta kalyanam romantic bgm Background music 2: Naruto shippendun gentle hands Background music 3:galatta kalyanam a forced marriage You can listen our podcast on Spotify, gaana,Apple podcast, breaker, Amazon music, audible, Google podcast ,A…
  continue reading
 
Loading …
Copyright 2026 | Privacy Policy | Terms of Service | | Copyright
Listen to this show while you explore
Play