Welcome to the Gani Khan podcast, where amazing things happen.
…
continue reading
Gani Podcasts
Ashraf Gani Khan
…
continue reading
…
continue reading
A podcast that amplifies stories and experiences related to air pollution and climate change from around the world.
…
continue reading
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
…
continue reading
Tune in for fun, magic, poetry, writings, and creativity and stay for the feelings. Cover art photo provided by Abdul Gani M on Unsplash: https://unsplash.com/@abdu27
…
continue reading
Podcast by Norwegian Framgångsresor
…
continue reading
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
…
continue reading
Do you find yourself being drawn into polarized debates about curriculum reform? Are you frustrated by the "temperature" of these conversations? Might you be longing for a more reasoned, more respectful source insight about changes to curriculum across Canada? And while many individuals and groups are busy advocating for change, David Scott (University of Calgary) from the University of Calgary) and Raphaël Gani (University of Ottawa) are hoping to step back and create some space for a diffe ...
…
continue reading
Hello there! We're Luke and Mona. We're a couple of Bisayas. AY teka. Buset. Ga-Iningles na man hinuon mi nga Bisaya gani. Aw. So, bale mga Bisaya mi unya kay bored man mi so magstorya mi about stuff. Mga butang-butang sa kalibutan nga gusto namo storyahan. Topics are anything under the sun. Like how kulang sa height si Mona ug sobra sa weight si Luke... at one point in time. Basically, just another Bisaya podcast. Or you know... a place where Luke and Mona talk in private and are "public" a ...
…
continue reading
Ujumbe Muhimu Sana Kwa Wagonjwa Wa GOITA Kama wewe ni mgonjwa wa GOITA ambaye umekuwa unahangaika kwa muda mrefu na tatizo hilo bila ya kupata utatuzi wa uhakika basi naomba unisikilize kwa makini kabisa kwani huenda taarifa ifuatayo ikawa taarifa muhimu kuliko taarifa yoyote katika maisha yako. Baada ya kuwasaidia zaidia ya wagonjwa 200 wa GOITA nimekuja kugundua kuwa tiba ya ugojwa huo sio upasuaji tu kama madaktari wengi wanavyodai bali ni jambo ambalo ukilifahamu utaweza kuondokana na ta ...
…
continue reading
This podcast is designed to help Christians around the world to learn from and be encouraged by the African Church. A different pastor is interviewed on each podcast to share experiences and knowledge on various topics. The views expressed by the pastors interviewed do not necessarily reflect the views of the interviewer, Rev. Anthony Sytsma, an American missionary serving with Resonate Global Mission in Uganda. Feel free to recommend a pastor to be interviewed. ([email protected]). Th ...
…
continue reading
story,books, love,
…
continue reading
so much more about entertainment, Music, sports, lifestyle
…
continue reading
The Plug Podcast 🔌
…
continue reading
D@RK C10UD™Podcast is here to cover hot topics across the board, push limits, shake traditions, broaden perspectives and to challenge the norms. Connecting REAL life with REAL people. The goal is to Empower, Enlighten & Encourage ALL listening ears!
…
continue reading
Hili ni Jukwaa linalowasaidia wajasiriamali wenye uchu wa mafanikio makubwa kama wewe, kupata wateja kirahisi mtandaoni. Nimetumia mbinu nyingi kuvutia wateja. Zipo zilizofaulu, na zilizofeli. Nime'Master zaidi zilizofaulu hatimaye internet imebadili maisha yangu. Kutoka 12,000 kwa siku, hadi Mil.3 kwa mwezi. Ungana nami hapa Ni'share nawe experience yangu. Ideas, mbinu na hata vitendea kazi ninavyotumia kupata mafanikio hayo. Hii ni njia yangu ya mafanikio (My path to success). Jifunze chuk ...
…
continue reading
Hiki ni kipindi cha kila Mkristo anaye tarajia kwenda mbinguni, kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Fuata Bibblia Ikuongoze, Ina usika na MAULIZO, MAONYO na MAFUNDISHO ya Neno La Mungu. Soma: 2 Timotheo 3:16-17. Soma tena: Yohane 8:32 Lengo la Kipindi hiki ni, kuwaelimisha watu wa Mungu, katika Neno la Mungu. Kwakuwa Biblia ina sema katika: Methali 12:1. Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama. Kwahio kila Mkristo ana karibishwa katika kipindi hiki, cha ...
…
continue reading
1
Bulus Gani on Persecution and Insecurity in Nigeria
1:04:31
1:04:31
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:04:31This interview is with Bulus Gani, Chairman of Regional Church Council, Christian Reformed Church Nigeria. Bulus shares with us about the insecurity in Nigeria and his take on recent events that have been in the news. He narrates his story about the time he himself was abducted and the trauma he went through. He discusses persecution of Christians …
…
continue reading
1
CAF: Wachezaji gani wameitwa kwa ajili ya michuano ya AFCON 2025?
23:53
23:53
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:53Leo tunachambua vikosi vilivyotajwa na mataifa kuelekea Kombe La Mataifa ya Afrika nchini Morocco, Ligi ya Afrika ya basketboli ya kina dada imeingia hatua ya nusu fainali, michezo ya chipukizi ya Afrika inayoendelea Angola, mabadiliko katika mashindano ya Tour du Rwanda, mechi za kufuzu mashindano ya shule za upili ya CAF, Ben Sulayem achaguliwa k…
…
continue reading
1
AFCON 2025: Mbio za kuwania kufuzu kwa nusu fainali zinazidi kupamba moto
23:53
23:53
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:53Leo tutakufahamisha matukio yote kwenye raundi ya 16 bora, uchambuzi wa mechi haswa kuondolewa kwa DRC na Tanzania walivyolakiwa kishujaa nyumbani Dar es Salaam baada ya kutoka Morocco na uchambuzi wa mechi za robo fainali za jana na leo. Morocco na Senegal washajikatia tiketi ya nusu fainali. Algeria dhidi ya Nigeria na Misri dhidi ya Ivory Coast.…
…
continue reading
1
Uchambuzi wa Mada: Je, AFCON 2025 inatoa msisimko kama mashindano yaliyopita?
24:34
24:34
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
24:34Leo tunajadili kwa undani kauli ya kocha wa Afrika Kusini, Hugo Broos kuwa michuano ya mwaka huu haina mvuto na msisimko kama Afcon zilizopita. Uchambuzi wa mechi za jana na leo kwenye hatua ya 16 bora - Tanzania vs Morocco, Afrika Kusini vs Cameroon, DRC vs Algeria. Hatua ya serikali ya Gabon kuvunjilia mbali timu ya Gabon huku marais wa Msumbiji …
…
continue reading
1
Baadhi ya watangazaji wa RFI Kiswahili watuma salamu za mwaka mpya 2026
19:53
19:53
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:53Karibu katika Makala haya ya kwanza kabisa mwaka mwaka 2026, changu chako chako changu, nikutakie heri ya mwaka mpya. Kumbuka makala haya hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea pongezi za mwaka mpya kutoka kwa watangazaji wenzangu hapa RFI Kiswahili. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako…
…
continue reading
1
AFCON 2025: Mtazamo wa hatua ya mtoano, timu 16 zitawania tiketi ya fainali
23:48
23:48
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:48Leo tumeangazia kwa undani matokeo na matukio ya hatua ya makundi iliyokamilika kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea Morocco, uchambuzi wa hatua ya 16 bora - nani atafuzu robo fainali?, tathmini ya hatua ya serikali ya Gabon kuvunja kabisa timu ya taifa ya Gabon, ahadi za pesa kutoka kwa marais kadhaa Afrika kwa timu zao kuele…
…
continue reading
1
Salam za mwisho wa mwaka kutoka kwa waskilizaji wapenzi wa makala Changu Chako Dec 28
20:05
20:05
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:05Karibu katika Makala haya ya mwisho kabisa katika mwaka 2025, ambapo kama ilivyo ada hukupa nafasi kutathmini ni mada gani iiokugusa katika kipindi cha mwaka 2025, lakini pia hutowa nafasi kwa waskilizaji ktoa salam za mwisho wa mwaka 2025By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
AFCON 2025: Morocco dhidi ya Comoros kufungua mashindano leo usiku
24:00
24:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
24:00Leo tunaangazia pakubwa kuanza kwa mashindano ya AFCON 2025; tunachambua mechi ya ufunguzi kati ya Morocco na Comoros, mjadala kuhusu mageuzi katika michuano hii, namna timu zilivyotua nchini Morocco kwa kuvalia mavazi ya kitamaduni, Morocco wapo kwenye shinikizo ya kunyakua ubingwa kwa kuwa mwenyeji lakini pia ubashiri wa mechi ya ufunguzi na atak…
…
continue reading
1
Kumbukumbu ya makala za mwaka 2025 sehemu ya pili desemba 21 2025
20:05
20:05
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:05Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili Desemba 21, wakati tukielekea kutamatisha mwaka 2025, ambapo nakukumbusha baadhi ya makala tulizokuwa nazo mwaka huu, utapata kuskiliza makala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lakini pia sehemu ya makala kuhusu mambo ambayo ni miiko kutoka makabila mbalimbali, na mwisho kabisa nitakuletea burudani…
…
continue reading
1
AFCON 2025: Mashindano kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya 2028
23:56
23:56
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:56Usiku mmoja kabla ya kuanza kwa michuano ya Afcon 2025 tunakufahamisha mambo yote unayostahili kujua pamoja na mabadiliko ya michuano hii kuendelea mbele, michezo ya chipukizi ya Afrika yatamatika Angola, Rayon Sports na Simba zapata makocha wapya, mkenya David Munyua aweka historia katika mchezo wa darts duniani, Anthony Joshua amlaza Jake Paul ku…
…
continue reading
1
Kumbukumbu ya Makala za mwaka 2025 sehemu ya kwanza Desemba 14 2025
20:06
20:06
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:06Katika Makala haya mtagazaji wako Ali Bilali anakukumbusha baadhi ya makala zilizoruka hewani katika mwaka 2025 ikiwa ni sehemu ya kwanza.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Utamaduni wa kulinda urithi na Uhifadhi wa utamaduni wa kiafrika Nov 16 2025
20:08
20:08
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:08Jumapili nyingine kabisa tunakutana katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni la parler francophone na Muziki Leo nakuletea utamaduni wa kulinda urithi na uhifadhi wa utamaduni wa kiafrika. Kwenye Muziki tutahitimisha na burudani kutoka mwa msanii Aslay katika kibao chake alichoshi…
…
continue reading
1
Historia ya Mizinga ya lamu ndani ya makala Changu Chako Chako Changu Nov 23
20:02
20:02
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:02Juma hili kupitia makala haya utapata kuskia historia ya mizinga ya Lamu huko pwani ya Kenya, lakini pia msanii Baino mzaliwa wa Burundi anaefanya muziki nchini Kenya.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Changu chako kuhusu maswala ya ubunifu kwenye sanaa Novemba 30
20:05
20:05
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:05Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea Maonyesho ya ushirikiano na Ufaransa na Kenya katika tasnia ya kitamaduni na ubunifu kupitia mpango wa Création Africa. Na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuzi Ibrah kutoka nchini Tanzania…
…
continue reading
This discussion is with Joseph Byamukama who is pastor of The Fount Church in Kampala, Uganda, and is the Team Leader at Veracity Fount, a ministry that seeks to help equip the Ugandan Church through theological research and resources. (Their YouTube channel). Joseph gives a biblical overview about demons and what they do and how Jesus has defeated…
…
continue reading
1
Chimbuko la kabila la wanande mashariki mwa DRC na Uganda, historia maalum
20:06
20:06
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:06Makala hii imeangazia kwa kina chimbuko la watu wa kabila la wanande, ambao kati yao wapo ambao wamejikita mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo maarufu kama wayira na pia wengine ambao wamejikita katika mji wa Kasese na maeneo mengine nchini Uganda na ambao wanafahamika kama Bakonzo, kufahamu zaidi sikiliza makala hii na mwandishi wetu Ru…
…
continue reading
1
Droo ya Kombe la Dunia 2026: Fahamu makundi ya michuano hii ya mwakani
23:55
23:55
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:55Tuliyukuandalia leo ni pamoja na timu za Afrika zimepangwa kwenye makundi gani katika Kombe la Dunia la mwaka ujao, nani ataibuka na taji la Formula 1 kesho, Kenya kuandaa mashindano ya dunia ya Taekwondo, michuano ya kufuzu mashindano ya shule za upili barani Afrika, kuanza kwa Ligi ya Afrika ya basketboli ya wanawake, wachezaji wa soka Afrika waa…
…
continue reading
1
Washikadau wa Fencing Afrika Mashariki waziomba serikali za Afrika kusaidia ukuaji wa mchezo
23:59
23:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:59Tuliyokuandalia leo ni pamoja na kilio cha washikadau wa mchezo wa fencing Afrika Mashariki kwa serikali za Afrika kusaidia kukuza mchezo, mashindano ya Tong Il Moo Do yarejea tena nchini Kenya baada ya marufuku ya mwaka mmoja, uchambuzi wa mechi za klabu bingwa Afrika, Sudan Kusini yaanza vyema michuano ya kufuzu Kombe la Dunia la Basketboli 2027,…
…
continue reading
1
CAF: Achraf Hakimi ashinda tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika mwaka 2025
23:54
23:54
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:54Leo tumezingatia tuzo za CAF 2025, AS FAR yaibuka washindi wa kombe la Ligi ya Afrika ya kina dada, kuanza kwa michuano ya klabu bingwa Afrika kwa wanaume huku AS FAR ikinyakua taji la kina dada, matokeo ya mechi za kufuzu AFCON U17 ukanda wa Cecafa, Curacao yakuwa taifa dogo zaidi kuwahi kufuzu Kombe la Dunia huku Marekani ikizindua mfumo maalum w…
…
continue reading
1
Utamaduni wa wamasaai katika swala la Twahara na msanii Mistachampagne
20:10
20:10
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:10Makala haya, mtangazaji wako ametembelea jijini Arusha Tanzania katika makumbusho ya Kimasai kuzungumzia mambo mbalimbali ya tamaduni za kimaasai hususan katika swala la Twahara.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Siku kuu ya mashujaa nchini Kenya ya kila Octoba 20
19:29
19:29
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:29Maadhimisho ya siku ya mashujaa nchini KenyaBy RFI Kiswahili
…
continue reading
1
1944, Part 1 - Episode 27: The Wise Prince (SEASON FINALE)
49:13
49:13
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
49:13Natalie hosts Japanese class in her underground cubicle. Mr. Tomibe struggles to stop the name calling in Camp. The Crouters fight over food. Natalie helps Nida. High Command punishes Mr. Tomibe. The audio of children singing A Sailor Went to Sea is courtesy of the 14th Henrietta Street Museum, Dublin, Ireland. https://14henriettastreet.ie. To see …
…
continue reading
1
Conrad Mbewe on Western Missionaries in Africa
1:03:06
1:03:06
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:03:06This interview is with Conrad Mbewe who pastors Kabwata Baptist Church in Lusaka, Zambia. To begin, Conrad shares about his friend Voddie Baucham who recently passed away, and how he is a very positive example of a Western missionary serving in Africa. He then discusses the ways Western missionaries can partner with the Church in Africa. He respond…
…
continue reading
1
KPA (Kenya), APR na REG za Rwanda zafuzu Ligi ya Mpira wa Kikapu Afrika kwa kina dada
23:53
23:53
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:53Tuliyokuandalia leo ni pamoja na kuanza kwa michuano ya raga ya Afrika kwa kina dada wachezaji saba kila upande, michuano ya kufuzu Ligi ya Basketboli Afrika kwa kina dada, ligi ya klabu bingwa Afrika kwa kina dada, mechi za kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 - Gattuso asema Afrika inafaa kupewa nafasi chache, uchaguzi wa Kamati kuu ya Olimpiki nchin…
…
continue reading
1
Miguel Gamondi kuiongoza Taifa Stars kwenye michuano ya AFCON 2025 Morocco
23:57
23:57
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:57Tuliyokuandalia ni pamoja na kocha Gamondi kuteuliwa kuwa kaimu kocha wa Tanzania, Kipchoge akutana na Obama, Tume Huru ya Uchaguzi ya Kamati ya Olimpiki ya Kongo yachapisha orodha ya mwisho ya wagombea, kukosekana kwa Beatrice Chebet na Faith Kipyegon kwenye tuzo za mwanariadha bora wa mwaka, makundi ya michuano ya afrika ya raga kwa kina dada na …
…
continue reading
1
1944, Part 1 - Episode 26: Going Underground
38:33
38:33
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
38:33Natalie pitches a very public fit over people rejecting family living and finds herself having to explain why to Bedie. The Crouters and other families dig living spaces under the barracks. Mr. Tomibe reads a story to Miss McKim’s Japanese class. To see the Forbidden Diary cast, go to www.storiestovoice.com/fd-cast. Support the show…
…
continue reading
1
Kenya na Tanzania zafuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (WAFCON2026)
23:44
23:44
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:44Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Sudan kusherehekea kambi ya kwanza kabisa ya ndondi ya wanawake nchini humo, Nairobi itakuwa mwenyeji wa michuano ya kufuzu ligi ya afrika ya basketboli mwezi huu, Kinshasa itaandaa michuano ya kitaifa ya ndondi ya chipukizi, Tanzania na Kenya zimefuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kina dada mwaka 2026,…
…
continue reading
1
WAFCON: Michuano ya kufuzu kombe la mataifa ya Afrika ipo raundi ya mwisho
23:51
23:51
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:51Tuliyokuandalia leo ni pamoja na waamuzi watatu nchini Rwanda kusimamishwa kwa muda, Kongamano la nne la Kibiashara la Soka lakamilika nchini Kenya, awamu ya mwisho ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kina dada, tuzo za CAF mwaka huu, mechi za kufuzu hatua ya makundi michuano ya Klabu Bingwa Afrika, mkenya Ruth Chepngetich apigwa marufuku ya m…
…
continue reading
This interview is with Opio Samuel Francis, from the Church of Uganda, serving as Chaplain of St. Paul Chapel, Gulu University, Uganda. We share about the work of a chaplain and the challenges facing youth in Uganda today. Samuel shares about how churches can be better reaching out to young people. Interviewed October 22nd, 2025. (40 minutes)…
…
continue reading
The Kempeitai interrogate and torture three internees (Gene, Bill and Jim) whom they suspect of helping Wick and Ritchie escape. Mr. Tomibe intercedes and rescues them. Nida, Auntie and Jorge talk about Filipinos being tortured in town. Mr. Tomibe gives Jim a poignant gift. To see the Forbidden Diary cast, go to www.storiestovoice.com/fd-cast. Supp…
…
continue reading
1
Changu chako chako changu kuhusu siku kuu ya kimataifa ya ukalimani sehemu pili
19:57
19:57
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:57Karibu katika makala ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya siku ya kimataifa ya ukalimani na tafsiri, na kwenye le parler francophone nitakujuwa kinachoendelea kwenye vituo vya Alliance Francaise za Ukanda na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Mace Ice. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu…
…
continue reading
1
FIFA: Ni mataifa gani ya Afrika ambayo tayari yamefuzu Kombe La Dunia mwaka 2026
24:03
24:03
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
24:03Tuliyokuandalia leo ni pamoja na tathmini ya timu za Afrika ambazo zimefuzu Kombe la Dunia 2026 na ni nani ambao wana nafasi ya kufuzu kuelekea raundi ya mwisho ya mechi za kufuzu, FIFA yateua wajumbe kutoka CECAFA, Herita Ilunga ndiye mkurugenzi mpya wa FECOFA nchini DRC, kocha wa zamani wa Yanga Nassredine Nabi waachana na Kaizer Chiefs, nyota ta…
…
continue reading
Mr. Tomibe allows a couple to get married in Camp and tries to improve life for prisoners while following High Command’s draconian rules. Japanese soldiers are upset about the prisoners’ bad manners, and Mr. Tomibe implores prisoners not to escape. To see the Forbidden Diary cast, go to www.storiestovoice.com/fd-cast. Support the show…
…
continue reading
1
Changu Chako Chako Changu, siku ya kimataifa ya ukalimani na utafsiri
20:05
20:05
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:05Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili changu chako chako changu Makala ambayo khukuletra historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki, na eo nakuletea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya ukalimani na utafsiri ambayo huamdihimishwa kila septemba 30 ya kila mwaka. Kwenye le parler francophone nitakujuwa yaliojiri kwenye …
…
continue reading
1
Mashindano ya boti za umeme zinafanyika Afrika kwa mara ya kwanza Lagos, Nigeria
23:57
23:57
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:57Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Rwanda kuwa taifa la kwanza Afrika kudhamini vilabu vya basketboli Ulaya, nini kinachoendelea klabuni Simba washikadau wanaendelea kuondoka, TP Mazembe yajiondoa katika Chama cha Vilabu vya Soka vya Kongo, Afrika inaandaa kwa mara ya kwanza mashindano ya boti za umeme nchini Nigeria, mwanawe Zidane aitwa kikosini Al…
…
continue reading
1
Maadhimisho ya miaka 100 tangu kutoweka kwa muigizaji wa Ufaransa Moliere
19:58
19:58
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:58Mtangazaji wako hapa anaangazia moja miongoni mwa mchezo wa kuigiza wa nfuli wa michezo ya jukwaani Jean Baptiste Pokelin maharufu Moliere alietoweka miaka 80 iliopita.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Utamaduni wa miiko kutoka makabila mbalimbali barani Afrika
19:50
19:50
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:50Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki. Leo nakuletea tamaduni na miiko kutoka makabila mbalimbali barani Afrika. Na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Otile Brown Kutoka chini Kenya. Mimi ni Ali Bilali, bienvenue ama Kari…
…
continue reading
1
John Njuguna on Building Altars Before Churches
37:01
37:01
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
37:01This conversation is with John Njuguna Njoroge vicar of ACK St. Michael and All Angel's Ruiru church in Thika Diocese of the Anglican church of Kenya. He talks about building altars metaphorically in the sense of prioritizing personal intimacy with Christ and a rich prayer life as more important than other concerns of church programs and church bui…
…
continue reading
1
1944, Part 1 - Episode 23: Internment-itus
32:48
32:48
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
32:48Mr. Tomibe tries to help prisoners get food from the outside and allows married couples to live together. Natalie is dumbstruck that half of the Camp is against Mr. Tomibe's Family Unit Plan. Letters from home finally arrive, and Peg gets a special surprise. To see the Forbidden Diary cast, go to www.storiestovoice.com/fd-cast. Support the show…
…
continue reading
1
Changu Chako Chako Changu: Historia ya demokrasia na msanii Marin Kidumu kutoka Uvira
20:03
20:03
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:03Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili Changu chako chako changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea hidstoria ya Demokrasia, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Marin MKidumu kutoka Uvira mashariki mwa DRC.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Waafrika wa kutazama kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia huko Tokyo, Japan
23:51
23:51
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:51Tuliyokuandalia ni pamoja na kuanza kwa mashindano ya riadha ya dunia, michuano ya Cecafa inayoendelea kwa kina dada na wanaume, Simba Day na Yanga Day huko Tanzania, michuano ya basketboli ya Afrika ya wavulana wasiozidi miaka 16, kinachotarajiwa baada ya rabsha katika mechi ya DRC na SenegalBy RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Changu Chako Chako Changu, utamaduni wa waturkana kutoka nchini Kenya sehemu ya 2
20:01
20:01
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:01By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Morocco ni timu ya kwanza ya Afrika kufuzu Kombe la Dunia la mwaka 2026
24:16
24:16
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
24:16Tuliyokuandalia leo ni pamoja na uchambuzi wa matokeo ya mechi za kufuzu kombe la dunia la mwaka ujao, mechi za kufuzu mashindano ya vilabu bingwa kwa kina dada ukanda wa CECAFA, mashindano ya CECAFA Kagame Cup, wanariadha watatu wa Uganda kukosa Riadha za Dunia mwezi huu nchini Japan, rais wa Marekani Donald Trump kuhudhuria fainali ya wanaume ya …
…
continue reading
1
1944, Part 1 - Episode 22: Back to the Bad Old Days
44:05
44:05
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
44:05Prisoner escapes and worries about MacArthur returning to the Philippines and has High Command clamping down on internment camps, sending new rules that Mr. Tomibe must enforce. Prisoners learn more about Mr. Tomibe. Nida hears news about her husband Ismael. To see the Forbidden Diary cast, go to www.storiestovoice.com/fd-cast. Support the show…
…
continue reading
1
CHAN 2024: Nani atashinda kati ya Morocco na Madagascar ?
20:58
20:58
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:58Morocco na Madagascar zinachuana katika fainali ya mchezo wa CHAN 2024. Hii ni michuano inayowashirikisha wachezaji wanaoshiriki ligi za ndani. Fainali hii inachezwa kwenye uwanja wa Kimataifa wa Kasarani, Agosti 30 2025. Wanamichezo wetu Jason Sagini na Paul Nzioki, wanachambua kutoka uwanjani.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
CHAN 2024: Wenyeji Kenya, Uganda na Tanzania watupwa nje ya mashindano
23:52
23:52
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:52Leo tumekuandalia mengi ikiwemo kubanduliwa kwa Kenya na Tanzania kwenye michuano ya CHAN katika hatua ya robo fainali, michuano ya basketboli ya Afrika ya wanaume imeingia hatua ya nusu fainali, shirikisho la soka nchini Sudan Kusini limetangaza tarehe mpya ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi ya wanawake, Wan Bissaka ajumuishwa katika kikosi cha soka…
…
continue reading
1
CHAN 2024: Kenya, DRC, Morocco zafukuzia ushindi mechi za mwisho za makundi
21:13
21:13
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
21:13Leo tumekuandalia uchambuzi wa timu ambazo zimefuzu, gani zimeondolewa na nani wanaweza kufuzu hatua ya mtoano kwenye mashindano ya Chan, michuano ya baskeboli ya wanaume ya Afrika, viongozi wa mashabiki Sudan Kusini waandaa mechi ya kirafiki kuchangisha fedha za kusaidia watu wasiojiweza, rais wa AS Kigali aahidi kuongeza tuzo za ligi iwapo atacha…
…
continue reading
1
CHAN 2024: Kenya yafukuzia ushindi dhidi ya Morocco, Tanzania ikihitaji sare tu
23:52
23:52
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:52Leo tumekuandalia uchambuzi, matokeo na matukio ya raundi ya pili ya hatua ya makundi ya michuano ya CHAN pamoja na mechi za leo usiku na kesho mchana, droo ya michuano ya awali ya kufuzu hatua ya makundi mechi za klabu bingwa barani Afrika, uhamisho wa wachezaji Afrika Mashariki huku Kinshasa ikichaguliwa kuandaa mkutano mkuu wa CAF mwezi Oktoba, …
…
continue reading
1
CHAN 2024: Tanzania na Kenya zashinda mechi zao za kwanza za makundi
23:54
23:54
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:54Tunaendelea kuangazia michuano ya CHAN ambapo wenyeji Kenya na Tanzania wasajili ushindi mechi zao za kwanza, Sudan Kusini yabanduliwa kwenye hatua ya nusu fainali michuano ya basketboli ya kina dada ya Afrobasket, bondia Patrick Mukala wa DRC ndiye bingwa mpya wa Afrika uzani wa light heavyweight, Hojlund wa Man Utd awekewa dau la pauni milioni 30…
…
continue reading
1
CHAN 2024: Tanzania na Burkina Faso kufungua mashindano ya Chan leo usiku
23:56
23:56
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:56Tumekuandalia mengi leo ikiwemo kuanza kwa mashindano ya CHAN - uchambuzi, matukio na matokeo, michuano ya basketboli ya wanawake yaingia nusu fainali, Gor Mahia yapata benchi mpya la ufundi huku shirikisho la soka nchini Kenya likipata mdhamini mpya wa ligi, tetesi za uhamisho ulaya, matokeo ya hatua ya tatu ya Canada Open, Barcelona yaingia kweny…
…
continue reading